Who will dare to raise up petition?
Petition ni muhimu sana
Watanzania walivyokasirika na kulaani hili Tendo la kipuuzi na kimabavu...basi tu, Watanzania wamechoka kuvumilia
Watanzania wako tayari sasa kufanya kitu..Huko Site sasa mada ni moto..kuanzia kwenye dala dala, hospitalini kwenye foleni, vijiwe, saloon za kunyoa....
Sasa hivi mpaka vijijini watu wana soma facebook, twitter na Instagram wanasoma..Mange is doing big impact
Petition inahitajika
Vijijini ambako wale wanategemea kura wameshatoka na bei ya sukari 3200 kwa kilo...Katazo la kuuza Mahindi yao nje.
Eti kama huwapigii makofi kwa sinema zao, wewe sio mzalendo
[HASHTAG]#prayforlisu[/HASHTAG]
Mtetezi wa wanyonge....Sauti ya Watanzania