Petition ya Katiba mpya, Mahakama Huru...

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Wameteswa wengi, wamepotea wengi, kimya kimya

Sasa ni hadharani...NAPE, Lissu

Watanzania kuna haja ya kukaa Kimya tena?

Kwanza niwapongeze Watanzania kwa wingi sana wameonyesha kuguswa na tukio la nguvu na upuuzi la Kushambuliwa Lisu. Hii Imeonyesha kuwa Watanzania walikuwa wanamsikiliza Tundu Lissu.... Lissu ni Tochi ya Watanzania, kutuonyesha njia tulipo gizani....Lissu mtetezi wa wanyonge

Tuendelee kumuombea Lissu apone Haraka....Tumshukuru Mungu kwa kutenda miujiza....

Next: Kutengeneza Petition in Watanzania wasaign kuunga mkono madai ya katiba mpya na Mahakama Huru

Tudai uhuru wa kujieleza, maandamano na mikutano ya sign

We can begin with petition

Social media imejaa [HASHTAG]#prayforLissu[/HASHTAG]
 
Bila katiba mpya tutaendelea kutawaliwa na kikundi cha mafia cha bashite, aka watu wasiojulikana.
 
hio petition apelekewe nani? nani ataijali?,mambo ya petition ni mambo ya wazungu ambao nchi zao zina system za mawasiliano baina ya viongozi na wananchi,hapa kwetu tuna watawala,hii nchi haifati sheria ambazo zinawakosesha raha watawala
 
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha

usione petition kama kitu kidogo

Idadi ya watu kubwa itatuma meseji nzuri kwa Dunia na watawala..It will knock the door and King hear voice

Hata JF ilianza kdg kdg

Nani alijua kuwa Tundu Lissu anapendwa na watanzania wengi hivi?

Hii petition ina umuhimu sana...

Who to volunteer and start?
[HASHTAG]#juliusmtatiro[/HASHTAG]
[HASHTAG]#salimmwalimu[/HASHTAG]
 
Who will dare to raise up petition?

Petition ni muhimu sana

Watanzania walivyokasirika na kulaani hili Tendo la kipuuzi na kimabavu...basi tu, Watanzania wamechoka kuvumilia

Watanzania wako tayari sasa kufanya kitu..Huko Site sasa mada ni moto..kuanzia kwenye dala dala, hospitalini kwenye foleni, vijiwe, saloon za kunyoa....

Sasa hivi mpaka vijijini watu wana soma facebook, twitter na Instagram wanasoma..Mange is doing big impact

Petition inahitajika

Vijijini ambako wale wanategemea kura wameshatoka na bei ya sukari 3200 kwa kilo...Katazo la kuuza Mahindi yao nje.
Eti kama huwapigii makofi kwa sinema zao, wewe sio mzalendo
[HASHTAG]#prayforlisu[/HASHTAG]
Mtetezi wa wanyonge....Sauti ya Watanzania
 
Ni kweli kabisa.Hata hawa wazungu wanaiba raslimali zetu sababu wanajua weakness ya Watawala wetu.Tumbo street
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom