Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,944
- 142,043
Kiaranga,
Tanzania iwewahi kuandaa vitu vingapi? je masuala ya maji na umemem hayakuwapo mawazoni mwa waliotuletea Sullivan au Bunge la Jumuiya ya Madola?
Atlanta ili host Olympics mwaka 1996 lakini mpaka leo hii karibu miaka 14 gharama yake haijarudishwa!!
Nadhani hoja ya Reverend kimsingi siyo hoja ya michezo ni hoja ya uongozi. NInavyomwelewa ni kuwa kwa vile hawa watawala wetu hajaamua kufanya jambo lolote of high intensity, expectation and challenge ni bora kuwapa kitu kitakachowalazimisha kuonesha uongozi. Na kwa vile mambo ya kawaida ya kujenga taifa kwao yanaenda kwa mwendo wa konokono na ni mashabiki sana wa michezo (kama tulivyoona wiki chache zilizopita) basi ni bora tutumie michezo kumkaanga papa kwa mafuta yake.
HOja yake iko hivi:
a. Watanzania wanapenda michezo, na viongozi wao vivyo hivyo.
b. Kwa vile michezo ya kimataifa ina kawaida ya kuwafanya viongozi kuonesha sura nzuri ya nchi zao.
c. Kwa vile michuano ya kimataifa hudumu kwa muda mrefu zaidi na hivyo kwa asili huitaji miundo mbinu mingi n.k
basi;
a. Tukubali kuandaa mashindano ya kimataifa ambayo huweza kufanyika kwenye zaidi ya mkoa mmoja (CAN kwa mfano).
b. Tukisema mashindano hayo yatafanyika mikoa mitano ya Tanzania.
c. Viongozi itabidi waanze kufikiria maandalizi ya venues hizo na infrastructures zitakazo support sehemu hizo; vitu kama barabara, viwanja vya ndege, mahoteli, sehemu za burudani, usalama n.k
d. Katika kufanya maandalizi hayo viongozi wetu watalazimika kumeet viwango vya kimataifa vya mambo mbalimbali ili kuweza kuvutia mashindano ya aina hiyo.
TATIZO: Too much responsibility and expectation; viongozi wetu hawapendi mambo magumu na yenye changamoto kama haya; wamezoea vile vya kunyonga, vya kuchinja huwa vinaruka ruka. Tusije kukaribisha mashindano ya kimataifa halafu uwanja ukawaporomokea watu, kuita fire mnatafuta Ultimate Security!!
But somebody help me out.. Imewezekana vipi Angola nchi iliyodumu kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe karibu miaka 20 kuweza kuandaa mashindano haya? Je nikiwaambia kuwa Rwanda itaanda CAN kabla ya Tanzania mtabisha? well at your own peril.
My dear reverend, your trying to bring logic to bear in this situation; unfortunately, with the Tanzanian leadership logic does not apply. Any attempt to use logic and rational thoughts will be the proverbial "exercise in futility". Kwa kiswahili wanasema ni "kutwanga maji kinuni" au "kumpigia mbuzi gitaa"
Omega,
Atlanta had everything, Mwanza, Mbeya and Morogoro have nothing! That is the difference!
Tukishajenga reli mpya ya mwendo kasi wa kasi inayofika Mwanza kwa masaa 10, ili kusafirisha mashabiki waliokuja kutoka Ulaya na China kuangalia Olimpiki, wakishaondoka si reli hiyo itaendelea kufanya kazi na kutuhudumia?
I am really amazed at how an otherwise smart and articulate fellow as the right Rev. could get this so wrong.
Mwanakijiji has it, and so do the rest of the members on this thread.Rev, what is getting into you?
Is this some new type of a cleverly twisted satire that we cannot see through?
Please do not tll me you are serious.
Kwa hili mimi nam-support Rev. kwa sababu viongozi wetu lazima wawe na kitu cha kuwasukuma kwanza kabla ya kufanya jambo basi na sisi tutumie mwanya huo kujipatia maendeleo/miundo mbinu ya haraka.
Ina maana umaskini tulio nao hautoshi kutusukuma kujiendeleza? SMH
Kiranga,
Una uhakika kuwa hatuna fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii au tatizo ni utashi?
..hivi India wamefika walipo kwa ku-host World tournaments za Cricket, au kwa ku-invest in Science,Technology, and Engineering?
NB:
..proposal ya Rev.Kishoka itakuwa na returns kubwa zaidi kama asilimia kubwa ya projetcs hizo itafanywa na makampuni ya Tanzania.