Petition: Makonda have to go now

Watanzania wanapenda Sana ujinga na huku wapo nyuma kwenye mambo ya maendeleo. Huduma za jamii mbovu Ila wanakalia udaku 24 hours. Awamu hii mmenoa.. Awamu hii ni ya hapa kazi tu. Waliopo site wanaiona kazi ya John pombe Joseph magufuli. Subirini 2025 mchague rais mwingine wa kuwawaongoza Nyinyi kisha Kwa kushirikiana na viongozi wengine washauri achague RC mwingine.. Tatizo mnajazana ujinga kwamba mnaokosoa mko wengi. Sio kweli mko wachache tu watanzania wengi wenye nchi hawana shida na makonda.. Makonda na magufuli wapo sahihi
 
Sawa Mrs bashite
 


Kwanza inabidi ufundishe Watanzania maana ya petition, ukimaliza hapo ujaribu kujielimisha kama Sheria ya JMTZ inatambua petition, ndiyo urudi hapa!
 


Nimependa
 
Hahahah too late neema baby. Rais wa dar hatoki kwa vipetition vya mitandaoni
 
sio kosa lako ni hilo jina lako la pili ndio linakuchanganya
 
Sio mzima wewe.

 
inch ni ya Familia na kikundi flan hivi....so fanya ufanyavyo.....hakuna kitakacho badilika.
 
Please omit identification marks such names, phone numbers, e-mails etc
 
lunatic and notorious twit! hujui kusoma hata picha huoni? magufuli na makonda wako sahihi kivipi? kujazana ujinga na mkuu wake kwenda kuteka kituo cha TV kwa kutumia mitutu ya bunduki ndio USAHIHI? acha kujitoa akili wewe!
 
Hii issue ya watu wa Dar kuwa na akili za ajabus ijui itaisha lini.
Likitoka jipya ambalo halina msingi watu wanaruka nalo.
Wanahabari nao wanataka kususa kuandika habari za Makonda,wakati wakiandika wasipoandika mitandao ya kijamii itaandika,na pia TBC na ZBC na vyombo vingine vya habari vitaandika.

Hapa ni mchezo unaochezwa hapa,hii sshue ya clouds ni kamchezo fulani kamepangwa kununua akili za watu,na wamefanikiwa,utasikia kesho tena Makonda anafanya jingine.
Mwisho wa Siku miaka mitano hiyoo,Wabunge waliohamia Dar ku deal na makonda wanarudi kwao hawana Jipya na yeye JIJI kaliweka sawa.

Mwenye tatizo na Makonda aende Mahakamani,Simple tu
 
Dah..wauza ngada wamechanganyika awamu hii.......petition bongo?? kwa kanuni ipi🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…