How many times did he abuse women on public and nothing was done ???.....
Wake up mzee hii ni LDC na sio westernized kama Kenya... Hayo mambo ni normal katika jamii yetu ila kuwa issue ni usuperstar wa Diamond BHASI
By the way Diamond ni mpenda kiki ila kwa mambo ya biashara tu mkuu. Unafikiri yeye ni mjinga kumuhusisha Peter !!!... Ishu alitaka kutengeneza buzz kwa Afrika nzima na ndio kitu anachoanza kukipata baada ya kujibiwa.. huwezi jua pengine akashusha international collabo soon

Diamond anajua anachokifanya na ni zuzu tu atakaekaa na kuanza kumchukulia serious...