PreGE2025 Peter Msigwa: No Reforms No Election ni mkakati butu na dhaifu wa kukimbia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Wakuu,

Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.

Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.

Unayejiita mchungaji hiyo njaa inakupeleka jehanam hakika!
 
Msigwa is a disgrace!! Hivi nafsi haiukuumi hata kidogo? Asee huoni umuhimu wa mabadiliko bse umekula mpunga wa CCM? Unahadi ya bunge nini??

Kwa nafasi ya Mchungaji unalitukanisha Jina la Mungu kwa kweli😭😭
 
Mimi sioni sababu hata moja ya kumuita Msigwa kada wa ccm, wangemwita mganga njaa tu. hana ukada wowte ndani ya chama. Akumbuke tu kwamba yeye ni miongoni mwa waliokatwa kale kamkia na hakawezi kuota tena.
 
Msigwa na siasa za kusaka tonge,mpuuzeni hana hoja tena.
 
huo ndio ukweli
siku zote walikuwa wapi kudai reform
 
Huyu babu sahivi anaweza kuitisha mkutano peke ake hapo Iringa mjini bila DED kulazimisha watumishi?
 
Wakuu,

Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.

Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.

Labda tujiuluze, mtu unataka reforms wakati huu wa uchaguzi ingali hizo reforms zinahitaji bunge maalum kukaa na kupitisha hayo mapendekezo.

Muda uliobaki mpaka uchaguzi hauruhusu kuweza kupata bunge maalum kulingana na ratiba za Bunge na ratiba ya uchaguzi.

MOST IMPORTANT ni kwamba hata hilo Bunge likikaa watakaopitisha hoja ni wabunge wa chama kimoja sasa JE mnatarajia hoja zipote kweli?

USHAURI

Ni heri twende uchaguzi, tuingize wabunge wengi na madiwani, then baada ya uchaguzi we call forconstitutional amendment and electiral commission's reform otherwise hii inayofanyika kwa sasa ni sindimba ngoma ya ukae. Wameamua kula hela zetu za michango ingali wangetumia muda huu kuzkusanya kwa ajili ya kampeni za uchaguzi.
 
Ni ndoto ya mwendawazimu kudhani kupata kura nyingi kuzidi wagombea wengine kunaweza kumfanya mtu kutoka upinzani atangazwe mshindi katika chaguzi za sasa.
Hakuna uchaguzi tena zaidi ya uchafuzi.
 
Msigwa ndo yule alikuwa Chadema au ni yupi?

Wajinga wote walihama chadema pamoja na huyo, na siku zote mtu hata ukiwa na upeo kiasi gani, ukishakuwa ccm, wewe ni matope tu
 
Nina uhakika Msigwa
Wakuu,

Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.

Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.

dhamira inamsuta, ila njaa imezidi hana namna. Acha aendelee kula matapishi yake. Akishashiba matapishi yake . Atakuja kuomba msamaha wa alichokifanya. Mungu amsamehe tuu
 
Back
Top Bottom