Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

Good move.

Japo sababu haijatajwa,sihitaji kuijua maana mpaka sasa teyari ziko nyingi ila zilikuwa hazifanyiwi kazi.

Tatizo wabunge wa chama fulani watakwamisha tu.

Sasa hilo nalo ni tatizo kwani Mchungaji Msigwa alipashwa pia atoe na sababu yake / hoja yake juu ya huo uamuzi wake ili tuone ni mzuri au mbaya kuliko alivyofanya hivi sasa kutuacha tu juu juu. Huyu Mchunguzi siku za karibuni ameanza ' Kukengeuka / Kupotoka / Kukosea ' mno sijui kwanini.
 
Sawa ni vizur msigwa ila swala moja naliwaza je kura za wale mabwana wa ukijani zikizidi si basi tena...game over
 
Hakuna wa kumuondoa Ndungai atawanyosha mpaka mnye mavi pumbavuuuu au na wewe msigwa umeanza picha za kihindi za Nassari , Chadema Wabunge 36 CCM wabunge 215 inawezekana vipi hapo? Kama nyinyi CHADEMA mnajeuri mbona mlishindwa kuwapitisha Wenje, Masha na Salum Mwalimu wawe wabunge was East Africa. CHAGADEMA mnapenda propaganda za kisenge Pumbavuuuuuu
Matusi ya nini jengo hoja,kariabu bunge kweli,leo hii kama mwananchi wa kawaida cjui kinacho endelea bunge live no,kodi zetu kwanini
 
Lakin jarib kureason uchache wa wabunge wa upinzan syo tija coz kuna baaadh ya wabunge wa chama tawala wapo agaist huyo jamaaa
 
Mhe Msigwa utaishia kufungiwa mwaka mzima.
Ndo hzo yaan
kumbe na nyie mnanunua ya nini kuepelka flash Takukuru?

Sasa hilo nalo ni tatizo kwani Mchungaji Msigwa alipashwa pia atoe na sababu yake / hoja yake juu ya huo uamuzi wake ili tuone ni mzuri au mbaya kuliko alivyofanya hivi sasa kutuacha tu juu juu. Huyu Mchunguzi siku za karibuni ameanza ' Kukengeuka / Kupotoka / Kukosea ' mno sijui kwanini.
 
mmemshindwa tulia.hadi mkaweka makaratasi mdomoni.sasa ndio.mtamuweza ndugai.?
Harafu wote huo ni wivu baada ya kumwona mkuu wa kaya anamkubali sana spika.
Kweli kazi ya upinzani ni "kuichonganisha serikali na wananchi wake!!"by msigwa.
 
Hakuna wa kumuondoa Ndungai atawanyosha mpaka mnye mavi pumbavuuuu au na wewe msigwa umeanza picha za kihindi za Nassari , Chadema Wabunge 36 CCM wabunge 215 inawezekana vipi hapo? Kama nyinyi CHADEMA mnajeuri mbona mlishindwa kuwapitisha Wenje, Masha na Salum Mwalimu wawe wabunge was East Africa. CHAGADEMA mnapenda propaganda za kisenge Pumbavuuuuuu
kwani huwezi kutoa machango wako bila kutukana ni aibu kwa mtu mzima kutukana
 
pic+msigwa.jpg


Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa ameelezea jinsi anavyosuka mpango wa kumng’oa Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Msigwa ametangaza nia yake ya kupeleka hoja ya kumuondoa Spika Ndugai katika mkutano unaotarajiwa kuanza Novemba 7.

Msigwa ametangaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter akisema amezingatia kanuni ya 137 ya Kanuni za Kudumu za Bunge.

“Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndungai, kwa kuzingatia Kanuni ya 137 ya Kanuni za Kudumu za Bunge ina complement Ibara ya 84 (7) (d) ya Katiba,” ameandika Msigwa katika ukurasa wake wa Twitter.

Akizungumza kwa simu na Mwananchi jana, Msigwa ambaye ni miongoni mwa wabunge wanaomlalamikia Ndugai wakidai anaendesha Bunge kwa shinikizo na upendeleo, alisema Spika huyo ameshindwa kuiongoza Tume ya Bunge na Bunge kwa ujumla. “Yeye ni kamishna wa Bunge amekuwa akipokea maelekezo kutoka kwenye mhimili wa utawala ili kuliongoza Bunge. Tume ya Bunge haiendeshwi ipasavyo,” alisema Msigwa.

Msigwa alimkosoa Spika Ndugai akidai amekuwa dhaifu kuliko maspika wote waliomtangulia na kwamba katika kipindi chake Bunge limekuwa dhaifu mbele ya Serikali.

Alipoulizwa kama ataungwa mkono katika hoja yake, Msigwa alisema hiyo haijalishi ilimradi tu hoja zake ni za msingi na ni za ukweli.

“Kupata support hilo ni jambo jingine, tutajenga daraja tutakapofika kwenye mto. Kitu cha msingi ni hoja ninazoeleza ni za msingi,” alisema.

Alipotafutwa kwa njia ya simu, Ndugai hakupokea licha ya simu yake kuita kwa muda mrefu. Hata hivyo aliwahi kujibu shutuma hizo siku za nyuma kupitia gazeti hili akisema Bunge linaongozwa na Tume ambamo Msigwa naye ni kamishna.

“Kitendo ambacho yeye anataka kuonyesha kuwa kiongozi mmojawapo ana upungufu, sioni kwa nini na yeye asiwe nao upungufu. Hilo ndilo jibu langu,” alisema Ndugai na kuongeza:

“Decision making yoyote za juu kuliko zote zinafanywa na tume na huyo ni mjumbe. Hapaswi kuwa mlalamikaji kama watu wengine.”

Sehemu ya kwanza ya kifungu anachosimamia Msigwa kipo katika sehemu ya nne ya Kanuni za Bunge inayohusu kumuondoa Spika au naibu wake madarakani na kinasomeka:

“(1) Mbunge yeyote anayetaka kuwasilisha hoja ya kumuondoa Spika madarakani chini ya Ibara ya 84(7)(d) ya Katiba atawasilisha taarifa ya maandishi ya kusudio hilo kwa katibu (wa Bunge) akieleza sababu kamili ya kutaka kuleta hoja hiyo.”

Sehemu ya pili ya kifunmgu hicho inasema mara tu baada ya kupokea taarifa ya maandishi ya kusudio la kumuondoa Spika kwenye madaraka, katibu ataipeleka taarifa hiyo kwenye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kuijadili.

Inaendelea kusema, endapo Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge itaridhika kuwa zipo tuhuma mahsusi dhidi ya Spika zinazohusu uvunjaji wa masharti ya Ibara ya 84(7)(a), (b), (e), (f), (g) na (h) ya Katiba, Sheria au Kanuni zinazoongoza shughuli za Bunge, basi kamati hiyo itaidhinisha kuwa hoja hiyo ipelekwe Bungeni ili iamuliwe.

Kifungu hicho kinaendelea kufafanua kuwa, naibu Spika atakalia kiti cha Spika wakati wa kujadili hoja ya kutaka kumuondoa Spika madarakani na Spika atakuwa na haki ya kujitetea wakati wa mjadala.


Chanzo: Mwananchi
 

Attachments

  • FB_IMG_1508657156465.jpg
    FB_IMG_1508657156465.jpg
    53.9 KB · Views: 25
Anangaika bure atofanikiwa na yeye Msigwa analijua ilo atofanikiwa ila wanasiasa wa Tanzania wanapenda sana kutokea FrontPage.
 
Sasa kama hana support na vile vile hajali kama atapata support, amesuka nini kama sio kujipotezea muda
 
Anangaika bure atofanikiwa na yeye Msigwa analijua ilo atofanikiwa ila wanasiasa wa Tanzania wanapenda sana kutokea FrontPage.
Kwahiyo unataka kutuambia rais Magufuli anapotaka kuifanya Tanzania ya viwanda anahangaika bure kwa vile anajua hatofanikiwa. Msigwa atapeleka hoja zake kama kamati itaona hana hoja itamweleza kwa maandishi.
 
Back
Top Bottom