Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
Kupitia ukurasa wake wa Istagram Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa ameelezea kusudio lake la kuwasilisha hoja ya kumuondoa Spika Job Ndugai.

Mhe. Msigwa anaandika;

"Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa binge la jamhuri ya muungano Tanzania mh . Job Ndungai , kwa kuzingatia Kanuni ya 137 Ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84(7) (d) ya katiba."
 
Ngoja kwanza tukasome hivyo vipengele. Tutarudi ku-comment baadaye.
 
Hakuna wa kumuondoa Ndungai atawanyosha mpaka mnye mavi pumbavuuuu au na wewe msigwa umeanza picha za kihindi za Nassari , Chadema Wabunge 36 CCM wabunge 215 inawezekana vipi hapo? Kama nyinyi CHADEMA mnajeuri mbona mlishindwa kuwapitisha Wenje, Masha na Salum Mwalimu wawe wabunge was East Africa. CHAGADEMA mnapenda propaganda za kisenge Pumbavuuuuuu
 
Kupitia ukurasa wake wa Istagram Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa ameelezea kusudio lake la kuwasilisha hoja ya kumuondoa Spika Job Ndugai.

Mhe. Msigwa anaandika;

"Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa binge la jamhuri ya muungano Tanzania mh . Job Ndungai , kwa kuzingatia Kanuni ya 137 Ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84(7) (d) ya katiba."
Anayemshabikia Lowasa akapimwe akili ----- ---Msigwa
 
Kupitia ukurasa wake wa Istagram Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa ameelezea kusudio lake la kuwasilisha hoja ya kumuondoa Spika Job Ndugai.

Mhe. Msigwa anaandika;

"Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa binge la jamhuri ya muungano Tanzania mh . Job Ndungai , kwa kuzingatia Kanuni ya 137 Ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84(7) (d) ya katiba."
Upinzani mko wabunge wangapi?
CCM wanakura ngapi?
Akitujibu tuje kwenye kura je kura zao upinzani zitatosha kumtoa spika au anatafta kick huyu MCHUNGWAJI?
 
Niko tayari kuchangia pesa taslimu kama zikihitajika kuwezesha mchakato huo .
Zinahitaka hela au namba za wabunge? ukiwa na namba poa ukiwa na hela ya kuchangia huko siyo mahala pake, kumbka una wabunge 36 kwa 215 wa ccm, je, kuna uwezekano.
 
Wabunge wa ccm mbona waliwahi kulipwa ili kupitisha muswada kandamizi ! Tutatumia mbinu zilezile tu .
 
hata kama ana hoja nzuri ila uchache wa wabunge wa upinzani kulinganisha na ccm ndo itakua kikwazo kwake.
hilo lingewezekana kama upinzani wangekua na wabunge wengi kuliko ccm.
 
Back
Top Bottom