Peter Msigwa: Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania

Menhine yote wanahangaika tu ili waandikwe kwenye magazeti.
Hapa cha muhimu ninkatiba mpya ambayo hata hivyo Magufuli hawezi kuisaini
 
Kupitia ukurasa wake wa Istagram Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa ameelezea kusudio lake la kuwasilisha hoja ya kumuondoa Spika Job Ndugai.

Mhe. Msigwa anaandika;

"Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa binge la jamhuri ya muungano Tanzania mh . Job Ndungai , kwa kuzingatia Kanuni ya 137 Ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84(7) (d) ya katiba."
Idadi ya kura bungeni itaamua
 
Hivi hizi fedha za kishika uchumba ni nani alikuwa aje kuchumbiwa??? Au wale jamaa waliokutwa hoteli flani wakifanya mkutano ndiyo walikuja kuowa??
 
Msigwa kalewa kweli katiba inasema kwamba ili spika akome kuwa spika bunge wa jamuhuri ya mungano wa tz theluth mbili ya wabunge wote wakikubal hoja yake ndo atolewe syo simple kiiivo anavyowaza
 
Jpm goooo!mtalia sana mpaka miaka kumi iishe mtabaki mifupa
Kwa kuwa ndio lengo lenu kutubakisha mifupa endeleeni!

Na sisi tumejipanga kinoma.
Kwa mfano mimiUtakuwqaimba makaburi, nawasubiria nyie mlio na minyama dizaini ya capteni john komba!
Nachimba kikaburi kifuupiii!

Utakuwa unapigwa jua deile.
 
Hakuna wa kumuondoa Ndungai atawanyosha mpaka mnye mavi pumbavuuuu au na wewe msigwa umeanza picha za kihindi za Nassari , Chadema Wabunge 36 CCM wabunge 215 inawezekana vipi hapo? Kama nyinyi CHADEMA mnajeuri mbona mlishindwa kuwapitisha Wenje, Masha na Salum Mwalimu wawe wabunge was East Africa. CHAGADEMA mnapenda propaganda za kisenge Pumbavuuuuuu
Matuc ya nn sasa?? Au uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapo
 
Msigwa kalewa kweli katiba inasema kwamba ili spika akome kuwa spika bunge wa jamuhuri ya mungano wa tz theluth mbili ya wabunge wote wakikubal hoja yake ndo atolewe syo simple kiiivo anavyowaza
Labda tujiulize kura huwa za siri au wazi? Kama ni siri uwezekano wa kupigwa chini upo
 
Then chadema ukizingatia ina wabunge wachache hyo theluth mbil ya kumkataa job ndugai itatokaa wap?
 
hata kama ana hoja nzuri ila uchache wa wabunge wa upinzani kulinganisha na ccm ndo itakua kikwazo kwake.
hilo lingewezekana kama upinzani wangekua na wabunge wengi kuliko ccm.
Mkuu unajua kuwa huko mcc unaposema inawezekana ndiyo waliomtuma huyo mh.aanzishe hiyo hoja wammalize huyo mic? Do u tink he is accepted by every1 at mcc? u are wrong brother, umekaa na mps through mcc ukajua wanavyomuongelea huyo mic na ubabe wake hata kwa hao mcc wenzake? unajua mchakato wa kumpa hicho kiti ulivyoumiza wenzake wa mcc? subiri hiyo hoja ifike halafu uta-realise, unakumbuka escrow? kuna mtuhumiwa aliyekuwa serikalini aliyebeba hela ambaye siyo mcc?

Opposition walikuwa wangapi? walioiunga hoja mkono uliwategemea? je walikuwa ni wapinzani wote? Watu wanaanzia kumcharaza mcc mwenzao mpaka kuzimia jimboni, mchakato wa umic,mpaka utendaji maslahi na majibu kwa mcc wenzake. Its a matter of time, nikirudi Tz nitapenda kushuhudia kitakachoendelea, ngoja nimalizie "thesis" yangu niwe huru inanibana sana huku. Yangu macho naipenda sana Tz my motherland, lakini kwa sasa mmmh tunayo yasikia tunaogopa, tunatamani kuendelea na ajira za kubangaiza huku tukiendelea na masomo.
 
c036e98bce370b01762fc3557d364323.jpg

Mbunge wa Iringa mjini Mh Msigwa ( Chadema ) anakusudia kuwasilisha hoja ya kumuondoa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Ndugai kwa kuzingatia kanuni ya 137 ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibala ya 84 ( 7 ) ( d ) ya katiba . Tumuunge mkono Mh Msigwa ktk kusudio lake ili kulinusuru bunge letu .
 
Hakuna wa kumuondoa Ndungai atawanyosha mpaka mnye mavi pumbavuuuu au na wewe msigwa umeanza picha za kihindi za Nassari , Chadema Wabunge 36 CCM wabunge 215 inawezekana vipi hapo? Kama nyinyi CHADEMA mnajeuri mbona mlishindwa kuwapitisha Wenje, Masha na Salum Mwalimu wawe wabunge was East Africa. CHAGADEMA mnapenda propaganda za kisenge Pumbavuuuuuu
KUNA HAJA YA KUHAKIKI WATUMIAJI WA JAMIIFORUMS.
 
c036e98bce370b01762fc3557d364323.jpg

Mbunge wa Iringa mjini Mh Msigwa ( Chadema ) anakusudia kuwasilisha hoja ya kumuondoa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Ndugai kwa kuzingatia kanuni ya 137 ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibala ya 84 ( 7 ) ( d ) ya katiba . Tumuunge mkono Mh Msigwa ktk kusudio lake ili kulinusuru bunge letu .
Ha ha ha Mchungaji msigwa Mchungaji wa kanisa lisilojulikana mwenye waumini wasiojulikana. Uwiiiii mbavu zangu mie. Tumuunge mkono tapeli aliyevaa nguo za uchungaji?
 
Hoja mujarab kabisa..ila wabunge wenyewe ni sampuli za Juliana Shenzy na Mzee Bulembo..yatakataa..huyu mzee kijeba aliye vimba USO anatakiwa atoke pale..wamtikise mzee kipara. .labda atakua na adabu kidogo..
 
"Ninakusudia kupeleka hoja ya kumuondoa Spika wa binge la jamhuri ya muungano Tanzania mh . Job Ndungai , kwa kuzingatia Kanuni ya 137 Ya kanuni za kudumu za bunge ina complement ibara ya 84(7) (d) ya katiba."
Looser!
Utamuondoa spika kwa wabunge 70 dhidi ya 190 wa chama tawala?yatakua maajabu ya dunia.
Msigwa hata hajui amekuaje mbunge,kazi yake ni usanii na maigizo matupu
 
Back
Top Bottom