Peter Msechu aelekea Juba, Sudani ya Kusini

Peter Msechu aelekea Juba, Sudani ya Kusini

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
1. Kama mnavyojua Sudani Kusini imepata Uhuru wake 2013.

2. Salva Kiir atakumbukwa kwa kuipitisha nchi hiyo kwenye mikwamo mingi.

3. Alichoka hadi akachoka tena. Ila kifo ndo mwamuzi.

**Juba ipo busy na Maandalizi ikiwamo mwaliko wa Peter Msechu kuhitimisha
 
Kama mnavyojua Sudani Kusini imepata Uhuru wake 2013. Salva Kiir atakumbukwa kwa kuipitisha nchi hiyo kwenye mikwamo mingi. Amechoka hadi akachoka tena. Ila ndo haachii madaraka mpaka kifo.
Mkoloni mweusi ni mbaya kuliko wakoloni wenyewe.

Salva anadhani SS ni mali yake.

Hivi karibuni ataondoka.
 
Mkoloni mweusi ni mbaya kuliko wakoloni wenyewe.

Salva anadhani SS ni mali yake.

Hivi karibuni ataondoka.
Kitu kimeitika huko. Andaa Suti, ilani na kadi ya Chama Chetu kukwea Boeing 787 pamoja na Mwijaku, Baba Levo na Steven Mengelo
 
Kama mnavyojua Sudani Kusini imepata Uhuru wake 2013. Salva Kiir atakumbukwa kwa kuipitisha nchi hiyo kwenye mikwamo mingi. Amechoka hadi akachoka tena. Ila ndo haachii madaraka mpaka kifo.
Siku msechu naye kaitwa akaitika, itakuwaje yaani

Mtu huyu amekuwa maarufu na tarifa zake nyingi zinaogofya, inakuweje,
 
Mmmh!!! Jina la huyu mwamba laitwaje?

1747408174020.jpeg
 
R.I.P komredi bodi, injini bado inapiga kazi japo bodi limelala yoo.
 
Back
Top Bottom