Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,729
- 24,595
Polisi kipenyo amesambaratisha
sasa mtu mlevi kama huyu jamani, isingekua rahisi kuvumilia maisha ya kahawa na tangawizi pale ACT wazalendo.Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
Hawezi kujiunga na mashetaniKaribu CCM Wakili Msomi na Mkaguzi wa Polisi Petter Madereka
Mwenzako anakuambia, “…Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu…” wewe unamkaribisha kwenye genge la majambazi kabisa! Si afadhali angebaki kwa wachumia tumbo?Karibu CCM Wakili Msomi na Mkaguzi wa Polisi Petter Madereka
Madeleka sio mzee, atajiunga vipi na ccm huyo kigeugeu?Karibu CCM Wakili Msomi na Mkaguzi wa Polisi Petter Madereka
Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Wanasiasa wengi watz wanawafanya watz kama ngazi ya kujitafutia maisha yao.Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Sasa hapa ulisema nini? Tumekuwa makini alafu?Niliwahi kusema 👇🏿
Thread 'Kuweni Makini na Madeleka' Kuweni Makini na Madeleka
Hiyo ni Link ya threadSasa hapa ulisema nini? Tumekuwa makini alafu?
Wafadhili wake wa Ufaransa alipoenda na Mke wake Mwanzoni mwa Mwezi huu wa Julai, 2026 walimwambia hawatatoa kufadhili kwa Pesa kwa mtu anayejuhusisha na masuala ya kisiasaHii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Huyo ni malaya tu, kwanza hana mvuto ht aende wapi yawezi kukubalikaHii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X: