Peter Kilawe unamuonea huyu kilaza Makongoro. Yuko bize kwenye kughushi shahada na kutafuta mshiko kwa kuliuza taifa letu. Mtaendelea kuteseka kwa vile jamaa hayupo kuwawakilisha nyinyi bali tumbo lake. Umenipata mwanangu? Uchaguzi ujao mpigeni chini aendelee na mishenitauni yake na rafiki yake na mghushi mwenzie Didace Masaburi.