Zile pete za ndoa mara nyingi huwa ni utambulisho wa ahadi na zuio kwa mtu mwingine anayetaka kujaribu engagement. The house/room is occupied; try somewhere else.pete nyingi ni ushirikina
wachache wanavaa wakiamini ni urembo
Na vipi nikivaa kama utambulisho au ishara kwa ahadi yangu ya ndoa?Ukivaa kama urembo/pambo ni sawa, ukivaa kama ULINZI ni kosa kubwa, hiyo ni SHIRIKI, unakuwa katika waliokufuru.
Katika uislam hakuna pete ya ndoa ni jambo jipya, ila ikiwa ni mpenzi(mkeo) alikupa kama zawadi, hakuna tabu, kwenye dini kila jambo linaemda kwa nia.Na vipi nikivaa kama utambulisho au ishara kwa ahadi yangu ya ndoa?
Dah inabid utafute sana hela mzee uondokane na ufukara wa kuwaza kutapeliwa kila saa.Mtapigwa pesa mda sio mrefu .
Tafuta hela mzee uondokane na ufukara wa kuwaza kutapeliwa kila mda ..Utasikia zinauzwa njooni PM. Kuweni makini
All the best
Msome Arsis, jini mwenyewe naelezea kuhusu pete za kijini:Hata FaizaFoxy unaweza kuta anavaa hayo mapete ya bahati!
Kwa nini kwa hapa bongo maulamaa ndio wanazivaa zaidi??Swagger tu kama za Justin Beiber.View attachment 3115216
Ni mystique, wanataka uulize. Ni astrology. Ni style. Ni status symbol. Ni imani zao.Kwa nini kwa hapa bongo maulamaa ndio wanazivaa zaidi??
Pete unaitunza sio kuilinda.Kati ya hizo pete na aliyevaa
Anayepaswa kumlinda mwenziye ni nani?
Vitu vyengine huwa tunamkuza sana shetani na huwa tuna muhusisha hata na asivyohusiana navyo.Kama kuna keywords mbili katika dini basi ni "Mungu" na "Shetani". Kama hauko sawa sawa katika hiyo ya kwanza, lazima ufungamane vilivyo na hiyo ya pili.
Bora usivae kabisa basi maana hivyo vito katika hizo pete havihitaji imani ya mtu.Ukivaa kama urembo/pambo ni sawa, ukivaa kama ULINZI ni kosa kubwa, hiyo ni SHIRIKI, unakuwa katika waliokufuru.