Pete ya uchumba!

Si waona sasa! Umefunguka kiutu uzima!
So that agenda tuitupe kule.
Nisingekubana ungenacha nikijua hujui kumbe wajua !
Pamoja kiongozi .
imenichukua mda bhana mpaka nimeulizia we unadhani mchezo
 
naona leo una dalili zote za kubugia hayo makitu...Its a good thing kama hubugii hayo makitu.

Nalibugia kwa sana! Years past thn nika with draw!
Btw nizowee napenda sana jokes ! Kupita sana.
That's why na'play na jukwaa hili too , than others.
 
duh!@kaizer wangu ndo anaijibu marinda yapo mangapi??? yule ni mwanaume wa shoka huwa hafumui manake anajua milando mingine yote yaweza kutumika kasoro huu.

Hata mie wa shoka pia !
Kitaka hakiki uliza BeibeNasty atakupa hadidu kama nami ni wa Mbao, Plastic au wa nini !
 
Hata mie wa shoka pia !
Kitaka hakiki uliza BeibeNasty atakupa hadidu kama nami ni wa Mbao, Plastic au wa nini !

Nan anauliza wewe wa nin? Alaaaaa we lako shoka hun wala wa plastic useme joto likizid wayayuka akuuu unautamu zaid ya jibin na asali bby mi stak nseme yoye hebu kwanza imiss ur voice tayari.
 
ni kupeana tu upendo na kuwa waaminifu ndo zawadi ifaayo maana hayo material things mengine mtakayopeana yatakishwa lakini upendo na uaminifu huleta faraja
 
Usitudanganye hapa, kwa Cacico ulishindwaje hadi mkamwagana!!!? au fundi wa kuongea tu lakini vitendo hakuna!?
 
Nan anauliza wewe wa nin? Alaaaaa we lako shoka hun wala wa plastic useme joto likizid wayayuka akuuu unautamu zaid ya jibin na asali bby mi stak nseme yoye hebu kwanza imiss ur voice tayari.

Midamida Swirry takwa lako litakua historia !
 
Kwanza tuangalie ni nini hasa maana ya engagement ring, hii huwa ni alama ya kuonyesha kuwa binti huyu tayari amepata mtu na yuko kwenye process za kuwa mke wa mtu (Tukitilia maanani kuwa mara nyingi ni mwanaume/mvulana anayemfuata mwanamke) so huwa ina lengo la kuwazuia wanaume wengine kumfuata msichana huyo kwa lengo lolote lile liwalo.

Sasa umeongelea kama itatakiwa iwepo na mbadala nini kitolewe badala ya pete ya uchumba, nimesema hapo juu maana ya pete ya uchumba na kitu kinachotolewa ni lazima kiwe kile ambacho kinaweza kuonekana na watu wengine kirahisi ili kutoa ujumbe uliokusudiwa. Kwahiyo kwa fikra za haraka haraka naweza kusema labda bangili ya aina fulani, maana hivi vitu vingiensidhani kama vitakuwa ideal maana kuna uwezekano wa kuvibadili mara kwa mara.

Kwa mwanaume nini apewe! Mh hii ina mjadala kidogo maana kwenye stage ya uchumba mwanaume/mvulana huwa havai kitu lakini baada ya ndoa huwa anavaa pete pia kuonyesha kwamba huyu mtu sasa hayuko available kwa wengine. Labda tuendelee kujadili hili la wanaume......
 
dah! me kutoa co siri mgumu kiaina labda anipe mimi tena anipe gari coz am crazy of the cars lol!
 
We hujui watu tunaoongea sana practically huwa ni low ufanisi? Lol

Na Mungu alivyokujalia kipaji cha kuponda!
Unanipondeaje! Ile ponda msiginio!
Nway nambie Kimodo wangu! Hali vipi ?
Mi nikukaribishe Daku , kwa maana kuhusu futari ratiba inaread fully loaded .
 
Na Mungu alivyokujalia kipaji cha kuponda!
Unanipondeaje! Ile ponda msiginio!
Nway nambie Kimodo wangu! Hali vipi ?
Mi nikukaribishe Daku , kwa maana kuhusu futari ratiba inaread fully loaded .

????????????????????????????????



Umkaribishe tuu
 

Mekubamba leo looh mekuulia ndugu yako? Mana jiiiiiiiii vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…