Pete ya Ndoa na kidole maalum

gfsonwin ,sory kama nitaumiza feelings za watu,but am also a Catholic,lakini ukweli lazima usemwe.Ni hivi,mambo mengi kama siyo yote yaliyoko kwenye ukatoliki na yanayopigiwa debe na wakatoliki yametoka kwenye upagani including pete.So watawa unaowasema is the same agenda!
 
Last edited by a moderator:

hivi kt maandiko ya kwenye biblia hakuna mahali pete imetajwa? kama ipo je nao ulikuwa ni upagani?
 
Hebu nioneshe ni wapi,kama kupo haikuhusishwa na ndoa pia itakua imetajwa kwa maana hasi!
 
Back
Top Bottom