PETE YA NDOA-kunani

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,359
Reaction score
56,208
inakuwaje baadhi ya wanndoa hawapendi kuvaa pete za ndoa miezi michache baada ya harusi,je vidole hunenepa kwa raha za ndoa so pete zinabana au ni kutaka kuendeleza libeneke mtaani bila kujulikana kama wako ndoani
 
naona wanandoa wenyewe wamejipumzisha saa hizi baada ya kupata lunch. wakimaliza watakuja kukujibu.
 
wanatakuwa wanafanya mazoezi nje ya kudumisha ndoa....
 
Mbona pete zipo kidoleni miaka sasa? Au wanandoa gani hao unaowazungumzia?
 
Hahaha. Kuliko mtu akaivue gesti hausi afu aisahau huko, bora ampe mwenza wake akatengeneze hereni. Lol. Afu umenikumbusha kuna mkaka anaongelea mke na wanae ila hana pete, ngoja nimuulize kulikoni?
 
Hivi pete inaweza kuzuia uzinzi? Wanaovaa pete hawafanyi uzinzi?
 
Mbona wenye pete ndiyo wana soko kuliko waso nazo?
 
Pete haina maana siku hizi!!!

Ndio maana MBA wanazidi kuongezeka....
 
Tangu nivae pete ndo nimekuwa nikipata mademu wakali zaidi na wenye heshima zao
 
inakuwaje baadhi ya wanndoa hawapendi kuvaa pete za ndoa miezi michache baada ya harusi,je vidole hunenepa kwa raha za ndoa so pete zinabana au ni kutaka kuendeleza libeneke mtaani bila kujulikana kama wako ndoani

Sihusiki na hisia zako by Nape Nnauye!
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa hapa UDSM anasoma masters akitokea nyumbani akishafika mazingira ya chuo anaivua anaiweka mfukoni,jioni akiwa anarudi home anaivaa na anakula totozi za undergraduate kama hana akili nzima ukizingatia anakamwili kadogo wanafikiri ni mwenzao kumbe kababu na hivi wakiona kale kavitz
 
Ha ha ha, tena napenda mkufu wa bure.

Hahaha. Kuliko mtu akaivue gesti hausi afu aisahau huko, bora ampe mwenza wake akatengeneze hereni. Lol. Afu umenikumbusha kuna mkaka anaongelea mke na wanae ila hana pete, ngoja nimuulize kulikoni?
 

Duh hiyo kali umenichekesha sana!
 
Pete siku hizi wengi wamepoteza maana yake,unashindwa kutofautisha alievaa na asievaa. Matendo ni yaleyale tu
 
Minaona kama ukivaa unaonekana lofa kwani hakuna mke wa mtu au mme wa mtu siku hizi kila kitu kimeshakuwa sanda kalawe nwenye kupata na apate
Sasa pete hapo yanini au inadhibiti nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…