Pete ya mafanikio

Mkuu si kila mtu anaweza kazi ya jeshi wengine huwadhamini watu na kutamba kana kwamba wao wanaweza kuna vitu sio, unakuta sehemu nyingi hizi elimu ni kama hazijai kwa baadhi ya watu asili ya kuona mtu anakitu halafu hatumii mbona ni kawaida sana
 
[emoji23][emoji23] mkuu kwanini unaiuza hiyo Pete?
Niliyonayo mimi imeweka ufa kidogo hizi zinapatikana aliexpress na maduka mengine ya mtandaoni au sonara kubwa za kariakoo! ikiwa unahitaji

Rakims
 
Sina pete lakini na tusua maisha vizuri sana kwa neema ya Yesu
 
Ni hiyo pete kuweka hapo imekuwa nongwa au hakuna ulichoelewa?

Rakims
Mara zote huwa nakuita muongo,na tena nakuita muongo, kawape nduguzo ili wawe na hiyo bahati
 
Mbona iyo pete ina geometry ya pembe tano?
 
How on earth could I limit my fortune to just a mere stone instead of toiling my ass?
 
Achana na hayo mambo..fanya kazi kwa bidii, kua na nidham ya pesa, zidi kusali kwa Mungu. Yako mambo mengi yamefichwa nyuma ya hizo pete unazotaka ila hutawekwa wazi hapa.

Najua tu atakuja na hoja ya kupinga ila ukweli utabak kua kweli
Nashukuru kwa mawazo mazuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…