Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,481
- Thread starter
- #61
Mkuu si kila mtu anaweza kazi ya jeshi wengine huwadhamini watu na kutamba kana kwamba wao wanaweza kuna vitu sio, unakuta sehemu nyingi hizi elimu ni kama hazijai kwa baadhi ya watu asili ya kuona mtu anakitu halafu hatumii mbona ni kawaida sanaNdgu
Mimi mwenyewe hapo ndpo hupata shida na hawa binadamu waganga anakuambia nipe elf 50 nikupe utajiri as if utajiri yeye hautaki , kwenye hyo 50 anayokuomba ukimuongezea kiasi anakubali ila isipungue.
Hitimisho: Dawa ya mafanikio ni kufanya kazi tu, hao wauza mawe na utabili ni utapeli kama kubet