Pete ya mafanikio

Ni uppuzi mtupu .Mimi nimeona umeandika mambo ambayo ni ushetani na ushirikina na yasiyo na uhalisia. Yale ambayo mganga anaahidi kukupa utajiri wake yeye anaishi maisha magumu kupindukia.
Hukuwa na haja ya kusoma yale yanayokutia hamasa ya kukereka mkuu,

Rakims
 
Alieumba hilo jiwe ndie anaeweza kuleta effect tajwa katika maisha yako
Jiwe halifanyi chochote bila ya idhini alieliumba jiwe ilo.
So what is USHIRIKINA?
 
Alieumba hilo jiwe ndie anaeweza kuleta effect tajwa katika maisha yako
Jiwe halifanyi chochote bila ya idhini alieliumba jiwe ilo.
So what is USHIRIKINA?
Ushirikina is where by someone pray to other Gods where he believe that this is God,

Nini maana ya USHIRIKINA katika imani yako?

Rakims
 
Hiyo ni thamani ya jiwe lenyewe, kama vile unapovaa pete ya dhahabu, ukiwa mshambamshamba utapata tabu kumuelewa.
Hivi kwa akili ya kawaida mtu akupe Pete kwa 600k alafu wewe ukapate mamilion kwanini asivae yeye ili apate hizo hela nyingi?acheni utapeli bhanàaa mungu anatosha,fedha na dhahabu ni Mali ya mungu.
 
Hiyo ni thamani ya jiwe lenyewe, kama vile unapovaa pete ya dhahabu, ukiwa mshambamshamba utapata tabu kumuelewa.
Heri unisaidie kuwaelewesha kama unafahamu thamani za stones, maana watu wanadhani nauza mawe kwa mfano niliyotoa

Rakims
 
Ushirikina is where by someone pray to other Gods where he believe that this is God,

Nini maana ya USHIRIKINA katika imani yako?

Rakims
Upo sawa sawa sana tuu mr rakim ila hapa naona jiwe unaligeuza kuwa mungu.
 
sasa mkuu Pete hizi tuna pata wapi na zina patikana kwa bei gani?
Achana na hayo mambo..fanya kazi kwa bidii, kua na nidham ya pesa, zidi kusali kwa Mungu. Yako mambo mengi yamefichwa nyuma ya hizo pete unazotaka ila hutawekwa wazi hapa.

Najua tu atakuja na hoja ya kupinga ila ukweli utabak kua kweli
 
Ndgu Mimi mwenyewe hapo ndpo hupata shida na hawa binadamu waganga anakuambia nipe elf 50 nikupe utajiri as if utajiri yeye hautaki , kwenye hyo 50 anayokuomba ukimuongezea kiasi anakubali ila isipungue.

Hitimisho: Dawa ya mafanikio ni kufanya kazi tu, hao wauza mawe na utabili ni utapeli kama kubet
 
Achana na hayo mambo..fanya kazi kwa bidii, kua na nidham ya pesa, zidi kusali kwa Mungu. Yako mambo mengi yamefichwa nyuma ya hizo pete unazotaka ila hutawekwa wazi hapa.

Najua tu atakuja na hoja ya kupinga ila ukweli utabak kua kweli
Mkuu siwezi kukupinga maana kila mtu na elimu zake ndio maana wengine watakwambia ukitaka mschana choma ubani wengine watakwambia choma kash kash, sina haja ya kukupinga mkuu,

Rakims
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…