Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,478
- Thread starter
- #41
Hukuwa na haja ya kusoma yale yanayokutia hamasa ya kukereka mkuu,Ni uppuzi mtupu .Mimi nimeona umeandika mambo ambayo ni ushetani na ushirikina na yasiyo na uhalisia. Yale ambayo mganga anaahidi kukupa utajiri wake yeye anaishi maisha magumu kupindukia.
Rakims