Pete ya mafanikio

Mm zikija awamu nyingine ntakutafuta,,,
Ila ziwe ndogo zaidi,,,yani hilo jiwe liwe dogo la kiana sio kubwa sana,,

Pamoja sana mkuu rakims,,
Hapana mkuu, mimi siuzi hizi stone zipo online yani mtandaoni unaweza kuagiza huko sio kwamba nauza elewa hilo

Rakims
 
Kwann Mkuu usivae wewe mwenyew na ukatajirika binafs na adha za maisha zikakutoka kuliko kujipanga huku na kuomba milaki mingi kivyepes hivyo!! Au Unampa ndg yako mnatoka!!
Hapa ni kua unatafuta hela na siyo msaada unatoa!! Figisu figisu tuu!! Vaa basi ww usilie lie huku....jivalishe upate malaki!! Ulozi tuu
 
nawezapata link ya hizo mambo chif,,?
Nianze kuperuz,,
Hapana mkuu, mimi siuzi hizi stone zipo online yani mtandaoni unaweza kuagiza huko sio kwamba nauza elewa hilo

Rakims
 
Umesoma thread vizuri?
 
nawezapata link ya hizo mambo chif,,?
Nianze kuperuz,,
Sijui kama zipo mkuu, hizi unapata kwenye vitabu vya nyota mkuu, vya kiarabu na kihindi tafuta

Rakims
 
Asante kwa elimu hii ingawa niko nayo tofauti kabisa
 
N
Umesoma thread vizuri?
Nimesoma na hiz ishu nazielewa!! Huez chukua pete ukavae ufanikiwe kama hakuna manuizo ya kichawi/kiganga hapo yafanyike!!
Tangu lini kitu chcht cha kiroho kitokee bila manuizi toka kwa huo ufalme? Wew mwenyew shaid, huez vaa pete bila manuizo, na manuizo hayo ni ya kipepo na "usibishe mana naelewa....huez vaa pete from no where hlf upate malaki tu, kirahic"
 
Unatumia nguvu nyingi kuongea kitu usicho kifahamu. Kama kuna manuwizi kuna kipi kinanizuia kusema yapo?
Au ulishayafanya ya kina Tunguli master yakakushinda ndio umeona ubandike huku?

Rakims
 
Unatumia nguvu nyingi kuongea kitu usicho kifahamu. Kama kuna manuwizi kuna kipi kinanizuia kusema yapo?
Au ulishayafanya ya kina Tunguli master yakakushinda ndio umeona ubandike huku?

Rakims
Haya mambo nayaelewa.....usanii tuu
 
Ningeichukua siwezi pata yenye iko chini ya laki (10,000)

na tena hao wenye tumba nyingi waambie kama wanaona haina faida wasidakie waende comment kwa vinavowahusu
 
Mkuu unaamini haya uliyoyaandika? au ni habari umeikuta ikakufurahisha ukaamua ku share?
 
Ningeichukua siwezi pata yenye iko chini ya laki (10,000)

na tena hao wenye tumba nyingi waambie kama wanaona haina faida wasidakie waende comment kwa vinavowahusu
Sijakuelewa hapo kwenye kiasi mkuu,
Lakini angalia mtandaoni zipo zinauzwa nyingine bei rahisi,
Kawaida ya watu kupiga zogo mambo wasioyaelewa mkuu,

Rakims
 
Wewe unaonaje kwa akili yako?

Rakims
Ni uppuzi mtupu .Mimi nimeona umeandika mambo ambayo ni ushetani na ushirikina na yasiyo na uhalisia. Yale ambayo mganga anaahidi kukupa utajiri wake yeye anaishi maisha magumu kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…