ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
-
- #41
Yoote ni kweli but hata wadada mko hivo jamani. Uliposema sio wote umemaliza kila kitu, SIO WOTE
wanawake hatuko hivyo hapo nakupinga kabisa nyie ndo mnatutenda sana tena sana
tunabaki na vidonda vya moyoni kwa ajili yenu asanteni kwa jinsi mnavyotufanyia ila Mungu atawalipa
mara kumi zaidi kwa yale mnayotufanyia siye wanawake
Mimi ni mmoja kati ya waliofanyiwa hayo unayopinga na mwanamke mwenzako ladyfurahia. Sitamsahau na sitamsamehe
Huyo alikuwa na dhana yake kabisa tofauti kwako hakuwa kama wanawake wengine walivyo
ndo mana nilikupinga wanawake hawako hivyo, wanawake hatukko hivyo labda itokee
mwanamke ana kusudio mbaya dhidi yako laikini mwanamke wa kweli na muadilifu hayuko hivyo
Nitakubali coz nataka nisimkumbuke huyu mtu...sorry lady acha tu hayo nambo
wanawake hatuko hivyo hapo nakupinga kabisa nyie ndo mnatutenda sana tena sana
tunabaki na vidonda vya moyoni kwa ajili yenu asanteni kwa jinsi mnavyotufanyia ila Mungu atawalipa
mara kumi zaidi kwa yale mnayotufanyia siye wanawake
pole mwaya kwa yaliyokupata ina maana alikutenda?
hakuwa na nia njema kwako huyo pole bestito ila usijali
usijali...but amenisaidia kuwajua wanawake naamini wote wako kama yeye
asante kwa somo zuri,ama kweli wanaume sio wa kuaminiwa kabisa.wengi ni waumizaji,kisha hawayajali maumivu.tuwe makini wadada.na wanaume msipende kuwafanyia dada zenu msivopenda kufanyiwa.
cousion... Nina imani what goes around comes around.... Wacha watudanganye danganye ila mwisho wa siku nao huwa wanapata wa kuwadanganya.... Asikwambie mtu wanaume huwa wanaumia sana wanapotendwa. Sisi pia tunaumia ila machungu hupungua kwa kutoa machozi....
Kweli aisee! Ila nnaswali inamana 2kae mguu ndani mguu nje ama?