ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
-
- #21
^^
Tena ni kheri hao wenzangu wanaweza kuwapa hizo pete, mi ndo kabisaa tegemeo hilo halipo kwenye ratiba,mi sio mzuri kwa kweli, yaani hata sijui nina nini mie Himidini !!
^^
wengine wanatufanya kama option huku ana mwingine anayetarajia kuoa inaumaga acha kabisa mungu awasamehe tu
awasamehe kabisa kwani hawajui walitendalo
ila malipo yao yako hapahapa duniani wao wanaona
kuwa ni wajanja kumbe wanajipalia makaa
na watakuwa kuni za kuchomea wenzao mi kuna besti yangu ana pete tangu namuona nayo ni mwaka wa tatu huu eti mchumba kumuoa hamuoi na wala haishi nae hadi nashangaa na sasa ana mimba kama si kuzibiana riski ni nini hiki
Mwalimu wa wanawake!!!! :wink2:
naupenda utaratibu wa baadhi ya makanisa ya kiroho
kwanza:hawaruhusu kuvishana pete kiholela
pete ya uchumba inakua inathaminiwa sana,mdada huvishwa baada ya mahari kua imeshatolewa,vipimo vya afya vishafanyika..na vikao vishaanza na mara nyingi ndoa inakua imekaribia kutangazwa..
kwa halii hii udanganyifu unakua umekwepwa kwa asilimia kubwa..though sio guarantee kua ndoa itafungwa lakini kunakua na uhakika..unlike hizi za kijiparty na few friends then pete..
Bora umetoa somo maana mtu anataka umvalishe pete na kutangaza ndoa hata mwezi wa kufahamiana bado!!!! Hatareeeee.
Wanaume wanacheza na upepo wa akili za wanawake wanajua akija na pete utamkubali na sisi wanawake sijui ni pressure za familia wengi wetu wanawaza ndoa usiku kucha ndio maana wanaume wanatumia nafasi hiyo kutuhadaa kwa pete ya gram mbili anakuuliza will u marry me, kwa tabasamu la huba unajibu yes babe kumbe mwenzio anakung'ong'a
Tuwe welevu kama nyoka tena aina ya cobra
Just for love
Kwani unapokua na mpenzi mahusiano hutakiwaa yaishie kwenye nin??? ni bora akuambie mapemaa ili ikitokea riziki kwingine unajienguaa,unaweza zeekaa upo nae,na huyo unayomsubiri wa kutoka kwa Mungu asipotokeaaa
Kumbuka jamii zetu za kiafrika kuolewaa ni heshimaaaa
Tunawapenda jamani mbona mnajishtukia sana?
ni baadhi tu wanaonesha upendo wa kweli ila wengi wao ni walaghai tena
kaitika wanaume 10 ni 1% ya ndio wakweli lakini waliobakia ni laghai na tapeli wa mapenzi
atakusemea hivi na vile kumbe si chochote mfano halisi sasa hivi kuna sakata nchi zilizoendelea
hasa zile za G8 huko ulaya kuna rais kafumaniwa na mkewe na mkewe anataka kumdivorce wewe
huoni inavyoumiza wanawake hapo yaani nyie mmekuwa watu wa ajabu sana tena mnashangaza na
kama sio kustaajibisha kabisa kaka yangu wapo walio wema na wakko walio mabaya