Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Maaaama weeeee sitaki hata kufikiria itakuaje
Kidole kimevimba haswa!
Hii imenikumbusha jamaa'angu mmoja ustadh alikamatwa na polisi wa kituo cha Msimbazi akawekwa ndani,ktk vitu alivyokabidhi counter zilikwepo pete mbili nzuri za silver alipotoka wakamkabidhi vitu ila pete moja haikurudi jamaa akauliza tu kiupole jamani pete zilikuwa mbili,ikwapi nyingine???wakatisha kumrudisha ndani ustaadh akajiondokea,baada ya kama wiki 2/3 akapigiwa simu na wale askari wanamuomba kituoni akadanganya amesafiri,baada ya siku 3 akapigiwa simu na OCD anambembeleza aende,alipofika akamkuta yule askari aliemtishia kumrudisha selo amenyanyua mkono(uliovaa pete) wa kushoto juu jasho linamtoka kaloa chapa chapa wenzake wakamwambia bwana huyu askari kishalia hadi machozi hayatoki tena kwa maumivu anayoyahisi kama kuna chochote utachoweza kufanya msaidie,jamaa'angu huyu hajawahi kuniambia alichofanya but nilichoona baada ya pale hakuwahi kukamatwa tena na wale askari may be askari wasiomjua,ni hatari sana kuvaa vaa pete za kuokota utani utani hivi mtu unajikuta mkono unakatwa.