Pete inamtesa jamaa

Kuna vitu vingine jamani si vya kuokota... Ndio akome kuokote hata visivyookotwa. Kaokota jini huyo....
 
Hapo ni Lazima maombezi Sababu hayo kavaa nguvu za Giza.
Kama MKRISTO atafute Nuru ikowapi.
Kama ni ustadhi atafute sheikh amsomee dua tuu.
Vinginevyo tunakata vidole.
 
Iliwahi kunitokea hii.sikumbuki nilipataje ile pete.ila kuna siku usiku ilianza kubana na nikaanza kusikia maumivu makali sana.mpaka kufika asubuhi nilikua nishateseka sana.kidole kimevimba kiasi Pete inataka kuzama.nilienda sonara hajafikA ilibidi apigiwe simu ndo akawahi kuikata.shukrani nilizompa Mungu anajua
 
Hapo ni Lazima maombezi Sababu hayo kavaa nguvu za Giza.
Kama MKRISTO atafute Nuru ikowapi.
Kama ni ustadhi atafute sheikh amsomee dua tuu.
Vinginevyo tunakata vidole.

hakika mkuu!
 

pole sana mkuu,......
 
Yeye si alijifanya mjanja kumuibia yule naibu waziri! ( taja mkoa reli ya kati inapoishia/anzia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…