Pete iliyotangatanga

Ahahaha umenifurahisha tu kuwa na wewe umehadithiwa na afisa mmoja....
Hapana nyumba zilikuwa zinapakana na timbwili zima nilihusika kwa kiasi kikubwa
 
Hapo kwenye simu za mkonini mwaka 1993 sidhani kama uko sahihi
 
Hapo kwenye simu za mkonini mwaka 1993 sidhani kama uko sahihi
BRN niko sahihi sana kampuni ilikuwa moja tu Tritel, Analog ilikuwa kumiliki simu ni gharama kubwa na process ndefu ikiwemo bank account nk ...watu wa kawaida wengi sana hawakuwa na simu
 
Kaka ni kweli kabisa....na zipo story nyingi tu za kweli juu ya pete....hata zile zinazouzwa km urembo....tuwe makini
 
Kaka ni kweli kabisa....na zipo story nyingi tu za kweli juu ya pete....hata zile zinazouzwa km urembo....tuwe makini
Hata humu jamvini kuna baadhi ya wanaforum walishawahi kupoteza vitu kwa namna ya ajabu kabisa lakini hawakujali kufuatilia mara mbili hivyo vitu vilipoteaje
 
Hata humu jamvini kuna baadhi ya wanaforum walishawahi kupoteza vitu kwa namna ya ajabu kabisa lakini hawakujali kufuatilia mara mbili hivyo vitu vilipoteaje
Kusema ukweli Mungu tu ndo anajua....ila ukiangalia yanayotuzunguka kuna hatari nyingi sana....
 
BRN niko sahihi sana kampuni ilikuwa moja tu Tritel, Analog ilikuwa kumiliki simu ni gharama kubwa na process ndefu ikiwemo bank account nk ...watu wa kawaida wengi sana hawakuwa na simu
Sawa Mkuu..na kulikuwa na vibanda unaweka sarafu ndio unapiga simu.
 
baada ya kuufungua Uzi nkapepesa macho haraka haraka nkatakaaa kuupotezea bila kuusoma mpaka mwisho wakatiii nataka kuback nkaona koment chini za wakuu zinkanivutiaa nkausoma mpaka mwisho

Kiukwelii huu Uzi sio hatarii tuu ni hatarii na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…