Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,395
- 33,265
Ningelikuwa na pesa ningelikununulia bibie
Ningelikuwa na pesa ningelikununulia bibie
Bei yake hizo pete ni kuanzia Dollar Million 1 na kuendelea juu ........ Hayo ni makisio yangu mimi tuUghali wake mbona haujidhihirishi kwenye picha!! Naona ni sawa tu na pete ya mamsapu wangu. Ngoja niipost hapa jukwaani nanyi mshuhudie.
Tuombe Mwenyeezi Mungu tu atupe Afya na Uzima na ajaalie kila kitu kiwe kama anavyotaka Yeye Muumba mambo yangekuwa mazuri ungelifurahi najuwa Wanawake Wengi wanapenda sana Dhahabu na Almasi, na ukitaka upendwe na Mwanamke au mke au mpenzi wako basi mnunulie zawadi ya Pete au mkufu wa dhahabu basi huyo mwanamke atakupenda wewe mwanamme .Na hiyo ni Pete ya Almasi iliyochanganyika na dhahabu wanao nunuwa hizo Pete ni watoto wa Wafalme, watoto wa Ma Rais au watoto wa Matajiri .Mtu wa kawaida si Rahisi kununuwa hizo Pete. Utaweza kununuwa pete ghali kama hizo wakati nyumbani kwako hakuna Wali au ugali? hiyo kitu haiwezekani kabisahayo maneno yametosha kabisa
naona X-mass na Idi zimekuja mapema
Asante....
Tuombe Mwenyeezi Mungu tu atupe Afya na Uzima na ajaalie kila kitu kiwe kama anavyotaka Yeye Muumba mambo yangekuwa mazuri ungelifurahi najuwa Wanawake Wengi wanapenda sana Dhahabu na Almasi, na ukitaka upendwe na Mwanamke au mke au mpenzi wako basi mnunulie zawadi ya Pete au mkufu wa dhahabu basi huyo mwanamke atakupenda wewe mwanamme .Na hiyo ni Pete ya Almasi iliyochanganyika na dhahabu wanao nunuwa hizo Pete ni watoto wa Wafalme, watoto wa Ma Rais au watoto wa Matajiri .Mtu wa kawaida si Rahisi kununuwa hizo Pete. Utaweza kununuwa pete ghali kama hizo wakati nyumbani kwako hakuna Wali au ugali? hiyo kitu haiwezekani kabisa
Ukitaka kizuri lazima udhurike. Teh teh teh.
Nime pata goosebumps
A woman's brain at work.Acha mchezo ukivaa pete ya diamond ya bei mbaya, lazima li-confidence liongezeke. Lol