Pete 10 za Almaasi ghali duniani

Ughali wake mbona haujidhihirishi kwenye picha!! Naona ni sawa tu na pete ya mamsapu wangu. Ngoja niipost hapa jukwaani nanyi mshuhudie.
 
hayo maneno yametosha kabisa
naona X-mass na Idi zimekuja mapema
Asante....
Tuombe Mwenyeezi Mungu tu atupe Afya na Uzima na ajaalie kila kitu kiwe kama anavyotaka Yeye Muumba mambo yangekuwa mazuri ungelifurahi najuwa Wanawake Wengi wanapenda sana Dhahabu na Almasi, na ukitaka upendwe na Mwanamke au mke au mpenzi wako basi mnunulie zawadi ya Pete au mkufu wa dhahabu basi huyo mwanamke atakupenda wewe mwanamme .Na hiyo ni Pete ya Almasi iliyochanganyika na dhahabu wanao nunuwa hizo Pete ni watoto wa Wafalme, watoto wa Ma Rais au watoto wa Matajiri .Mtu wa kawaida si Rahisi kununuwa hizo Pete. Utaweza kununuwa pete ghali kama hizo wakati nyumbani kwako hakuna Wali au ugali? hiyo kitu haiwezekani kabisa
 
Hapo umeongea cha maana
kweli wanawake wengi tunapenda
kuvikwa kwa dhahabu na almasi.. ..
ila kutokana na circumstances za maisha imekuwa ngumu.. ..
hata hivyo never say never...

Nimeangalia zile pichaa za Sudani ulizoweka
hamu ya pete imeni yayuka ..... :(
 
binadamu tunatofautiana sanaa...watoto somalia wanakufaa kwa njaaaa,hawana hata kipande cha mkate ambayo ni nusu ya dolla moja,wanakulaa mchangaaa.wengine wananunua vito,mapambo ya dunia kwa dolla milioni 100.doh!!salalaaaa.
 
Ukiangalia maisha ya wananchi wa Maganzo na Mwadui zinakotoka utagungua watanzania tunabadilishiwa chupa kwa almasi. Maana kwa bei ya pete kumi tu US$ 100 zinazidi hela aliyokwenda kutembezea bakuli Vasco da Gamba kwa Bush na kupewa US$ 700 za chandarua nchi nzima na kuzifisadi humo humo.
 
Back
Top Bottom