Me nitajiita zulu au vp shaka
Jina linatakiwa libaki lile lile,mie langu lazaman
Mie nita jiita
GILALAMBU
Mi Mtombokaji
Umenifahamisha hilo jipya kwangu
Me ntajiita johncena money
mi nitakuwa El-Dan.
Safi sana ila la kwangu halibadiliki
Ngoja uzinyake.
Tutaskia ghafla kuna mtu anaitwa Shark Van Mo'
Dah! Kama linaelekea vile hahahaaaa kweli mkuu ila nitajitahidi kujita jina langu hili hili
So usiniambie umekaa kabisa unasubiri kuna siku nawe utazishika...Kweli binadamu kazi