Dah! Kuna tajiri mmoja jina lake Bakharesa kwa sasa anagombea tawi la CCM kule visiwani Zanzibar ila nimemfuatilia sana khs historia yake na nikagundua kuwa kabla hajazishika pesa alikuwa jina lake anaitwa Bakari Issa. Baada ya kuwa matawi ya juu2 ndipo akajiita Bakharesa. Jee nawewe ukizishika pesa utajiita nani? Mimi hapa kama kawaida nitajiita Shaka