Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
Ndugu wanajamii, hiv nini kipo nyuma ya pazia kuhusu bod ya mkopo!? Mim ni miongoni mwa tuliopata mkopo lkn cha ajabu had Sasa pesa ipo ya maandishi tu kwenye loan breakdown, nashindwa kuelewa nifanye nini Sasa! Maana Niliaply kupitia Nacte na nikawa selected lkn nikapata uhamisho toka Nacte, Sasa had Sasa pesa hakuna Sasa sijui nifanyaje!? Tushauriane jaman maana wengine tupo mikoani