Pesa za sensa zimewasaidia wasio kuwa na ajira au ilikuwa ni mihemuko tuu

Gotze Giyani

Senior Member
Feb 28, 2022
124
188
Wadau habari za mida huu poleni sana na tozo zinazoongezeka kila siku huku walioziweka hata hawajali na ni kwa sababu kwenye uchaguzi tuchague tusichague lazima washinde.

Tukienda kwenye mada watu wengi hapa jamii forum waliunga sana mkono vijana waliomaliza chuo na wasio na ajira kupewa kipaumbele kwenye nafasi za muda za ukarani wa sensa , usimamizi na tehama ila huku mtaani nimeona hakuna aliyefanya cha maana labda kununua smartphone na navyosikia wamepata zaidi ya laki 600000 na madogo zangu kama 3 hivi wote walikuwa ukiwauliza cha maana walichofanya hamna hii ndio inafanya vijana tuonekane ni watu wa ovyoo sana.

Mimi niliwashauri wanzishe ufugaji wa nguruwe pindi tuu watapopata hiyo ela ila hakuna aliyenisikiliza wadau mnasemaje kwa hili
 
Wapo waliofanya cha maana Kama kuanzisha biashara ndogo za karanga , matunda nk
 
Wadau habari za mida huu poleni sana na tozo zinazoongezeka kila siku huku walioziweka hata hawajali na ni kwa sababu kwenye uchaguzi tuchague tusichague lazima washinde.

Tukienda kwenye mada watu wengi hapa jamii forum waliunga sana mkono vijana waliomaliza chuo na wasio na ajira kupewa kipaumbele kwenye nafasi za muda za ukarani wa sensa , usimamizi na tehama ila huku mtaani nimeona hakuna aliyefanya cha maana labda kununua smartphone na navyosikia wamepata zaidi ya laki 600000 na madogo zangu kama 3 hivi wote walikuwa ukiwauliza cha maana walichofanya hamna hii ndio inafanya vijana tuonekane ni watu wa ovyoo sana.

Mimi niliwashauri wanzishe ufugaji wa nguruwe pindi tuu watapopata hiyo ela ila hakuna aliyenisikiliza wadau mnasemaje kwa hili
Yupo dogo alikuja home kutuhesabu na nikabahatika kukutana naye The Hub huku Arusha eti na yeye anavimba 😅 wikiendi hii Jana sijamwona sijui zimekwisha? Pesa za kupewa kwa mkono wa kushoto shida kweli
 
Back
Top Bottom