ni kwel kabisa mkuu Ujerumani wanawatengenezea fedha nchi zaid ya 60 ikiwamo Tanzania na Gesecke&Devrient company ndo watengenezaji wakubwa wa fedha hata ukiangalia containers za fedha zetu znapokuja bandarini (ticts) document zake ni port of loading ni Leipzig Germany port of discharge ni dsm Tanzania bt Swiss mara nying ndo wanafanya design ya fedha za nchi nying dunian
Alitengeneza mabilioni feki ya dola mpaka Ikabidi mmarekani abadili pesa zake kwenye baadhi ya alama na kuongeza alama nyingine za Siri ili kumdhibiti mchina ndio maana mara nyingi dola za 2004 kushuka chini hazikubaliki sehemu nyingi

dola zote ambazo zimepita miaka 10 toka mda zilizotengenezwa huwa zinatolewa kwenye mzunguko wa fedha za marekani ndo maana kuanzia dola za mwaka 2004 kushuka hawakubali myb kdg za 2005 nazo ni kubaatisha wanaweza wasikuchenjie bt kuanzia 2006 kuja juu wanakuchejia bila ya tatizo lolote