Pesa za michango ya harusi wanandoa waruhusiwe kufanya mitaji?

Pesa za michango ya harusi wanandoa waruhusiwe kufanya mitaji?

Kuchanga mbona sio lazima?
Vikao pia sio lazima.

mkuu hujawahi pewa kadi kwa lazima na simu za kukukumbusha kila saa. au wanakupigia simu; tupo kwenye kikao tumekuweka loud speaker sema pledge yako
 
Kweli kabisa kiasi kitengwe wafanyie biashara kwani baada ya sherehe wengi wao wanafuliaga.
 
Back
Top Bottom