Pesa za Escrow Account ni za wahisani sio za serikali

kweli wewe ni taahira.hivi leo Bakhresa au Mengi akilipwa hela yake aliyoitolea jasho anaweza kuanza kuigawa ovyo ovyo kama njugu? tunajua fika hiyo hela walikuwa wanagawiwa akina anna tiba kwa sababu hawakuitolea jasho wahusika. usifikiri sisi ni wangese kama wewe. mnaudhi sana watu wa jamii yako.

Hela za escrow ni hela za wafanyabiashara binafsi ambazo Tanesco ilikuwa ikilipa bill zake za kununua umeme inaingiza huko.
Sio hela za serikali kama wengine wanavyotaka watu waamini.

Fedha hizo zilikuwa zinawekwa huko kwa kuwa wanahisa walikuwa na migogoro yao binafsi ambayo serikali haiwahusu na waliomba ziwekwe huko ili asije kuweko mwanahisa wa kuzitoa bila mwingine kujua.ESCROW ni kama akaunti tu ya kutunza hela kwa muda kwa ajili ya watu ambao wako katika migogoro wakati wanasubiri kumaliza migogoro yao.Walipomaliza migogoro yao ndio wakaenda kuzichukua.Hazikuwa za serikali kabla ya kuziweka na baada ya kuziweka.Na haziji kuwa za serikali zile.

Tanesco kama mlipa umeme alionunua alikuwa akiendelea kulipa kila wakati bili zake.Sasa mtu kusema watu wamekwapua hela za walipa kodi kunatoka wapi? Zile hela sio mali ya serikali ni za wanahisa.Hata zingerudi kesho serikali haiwezi zichukua sio pesa zake!!

Watu waelewe kuwa hela zilizokuwa akaunti ya ESCROW sio hela za serikali ni za watu binafsi(IPTL) waliolipwa na Tanesco BAADA ya kuiuzia Tanesco umeme.Kwa ufupi habari ndio hiyo.

eastafricaneagle@gmail.com
 
Eti ni pesa za wahisani kwa hiyo wahisani wanatoa hisani kwa nani?? Au katika benki zote duniani wameona waje kuhifadhi hela zao BOT??? Shenzi kabisa wewe muandika uzi hufai hata kuwa sisimizi...shenzi type
 
kweli wewe ni taahira.hivi leo Bakhresa au Mengi akilipwa hela yake aliyoitolea jasho anaweza kuanza kuigawa ovyo ovyo kama njugu? tunajua fika hiyo hela walikuwa wanagawiwa akina anna tiba kwa sababu hawakuitolea jasho wahusika. usifikiri sisi ni wangese kama wewe. mnaudhi sana watu wa jamii yako.

Mengi huwa anatoa mamilioni kusaidia watu uko nchi gani wewe? Bakheresa ndio usiseme sema huwa hataki kujitangaza kama akina mengi.

eastafricaneagle@gmail.com
 
Ungekua karibu yangu mtoa mada ningekutwanga ht risasi moja tu ya mguu na roho yangu ingetulia...maana unaongea mambo ya hovyo kabisa...km umetumwa ili uje uwatetee hao mabwana zako we endelea tu...Ila ujue waliokutuma wamesababisha serikali imenyimwa misaada as a result ma hospital hayana dawa & thamani ya shillingi yetu imezidi kudidimia...ss km unaona ni vyema kukatetea ka kikundi kenu kuliko the remaining 44'm Tanzanian wanaotaabika kutokana na wizi wenu we endelea tu

Ni hatari mpaka sindano ya kutolea Damu hospitali zingine hawana.Hili nimelishuhudia mwenyewe . Alafu wajinga wengine wanashabikia uwizi/Ufisadi kama huo.
 
Hivi unajuha Tofauti ya WAHISANI na WANAHISA ?

Mkuu niliandika heading wanahisa moderator ndio kabadilisha na mimi sikumlalamikia nikidhani labda kiswahili sahihi cha wanahisa ni wahisani hiyo aliyobadili moderator.Otherwise mimi niliandika wanahisa na si wahisani kwenye heading yangu.Hata content zangu siongelei wahisani naongelea wanahisa.

eastafricaneagle@gmail.com
 
Hivi unajuha Tofauti ya WAHISANI na WANAHISA ?

Huko unaenda mbali huyu mjinga hajitambui.Ni mwendawazimu na fisadi aliyekubuku anaweza kushabikia hii isuue ya IPTL na mbaya idadi yao inaongezeka kila siku. Wengine wamelipwa kwa kazi hii ya kueneza uzandiki ila kuna kundi la akina Werema na Pinda siuji wamechukua ngapi kama Prof.Tibaijuka alichukua

#1
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema amepokea kiasi cha dola za Marekani milioni moja (Shilingi bilioni 1.65) kutoka kwa mmoja wa waliokuwa wamiliki wa kampuni ya Independent Power (IPTL), James Rugemalira.

Kinachosikitisha wapembe hawa kwenye jukwaa hili la JF sijui wanawafanyia kazi IPTL au wanasiasa waliochota Pesa.
 
umemsahau na yule mtoto aliyepewa ubalozi na babariz hivi majuzi kati... yaani kuuza redio na masufuria pale kitumbini ndo ameukwaa ubalozi!! SHAME!! DAMMMIT!!!

Kwani wewe mwenzetu huwa unauza nini?
 
Nilichoandika ni kupinga porojo za kisiasa za vyama kuona kuwa hela za Escrow ni za serikali.
Unakuta kwenye hotuba zao bungeni na nje ya bunge wanajaribu kupotosha wananchi waone kama hizo hela ni za serikali ambazo zingetumika kwenye bajeti ya serikali.Hicho ndio napinga.Wanasiasa waache uwongo.
eastafricaneagle@gmail.com
JAMAA YETU MBONA UNAZIDI KUPOTOSHA?
akili ya STD IV kabisa hio
Tanesco ni mali ya nani
mitambo yetu ya Mtera Kidatu Hale na mingineyo inafanya nini mpaka ninyi na ESCROW mkapenya kuja kutuuzia umeme kinguvu?
hiyo scandal inatokea mbali ungeiacha km huifahamu ilivyoanza kule Nishati na Madini miaka na miaka
 
Hela za escrow ni hela za wafanyabiashara binafsi ambazo Tanesco ilikuwa ikilipa bill zake za kununua umeme inaingiza huko.
Sio hela za serikali kama wengine wanavyotaka watu waamini.

Fedha hizo zilikuwa zinawekwa huko kwa kuwa wanahisa walikuwa na migogoro yao binafsi ambayo serikali haiwahusu na waliomba ziwekwe huko ili asije kuweko mwanahisa wa kuzitoa bila mwingine kujua.ESCROW ni kama akaunti tu ya kutunza hela kwa muda kwa ajili ya watu ambao wako katika migogoro wakati wanasubiri kumaliza migogoro yao.Walipomaliza migogoro yao ndio wakaenda kuzichukua.Hazikuwa za serikali kabla ya kuziweka na baada ya kuziweka.Na haziji kuwa za serikali zile.

Tanesco kama mlipa umeme alionunua alikuwa akiendelea kulipa kila wakati bili zake.Sasa mtu kusema watu wamekwapua hela za walipa kodi kunatoka wapi? Zile hela sio mali ya serikali ni za wanahisa.Hata zingerudi kesho serikali haiwezi zichukua sio pesa zake!!

Watu waelewe kuwa hela zilizokuwa akaunti ya ESCROW sio hela za serikali ni za watu binafsi(IPTL) waliolipwa na Tanesco BAADA ya kuiuzia Tanesco umeme.Kwa ufupi habari ndio hiyo.

eastafricaneagle@gmail.com

Imefikia muda serikali kuchukua hatua kwa kila atakaekiwa anaandika uongo na kusema uongo. Katika nchi za wenzetu ni kosa la jinai kusema uongo. Serikali ikiendelea kuachia haya mambo ya kusema/kuandika uongo ni wazi Tanzania tunaelekea kubaya. Mbona mnasema simu zimesajiliwa anzeni na yule atakaepatikana na msg funga miaka atamtaja aliemtumia msg. Angalia baadhi ya watu wanatoa matamko za uongo wakati wala sio wanachama wa vyama husika. Wanaalika vyombo vya habari na kutangaza maneno ya uongo baadae vyama vinakanusha lakini wale waliosema uongo wanaachiwa pasipo kufunguliwa mashtaka. Tunawafundisha nini vizazi vyetu, ndio mana nchi yetu inakuwa na watu waongo waongo tu kwasababu hakuna anaejali au kuogopa kusema uongo. NI WAKATI WA SERIKALI KUCHUKUA HATUA KWA KILA ASEMAE UONGO NA KUTUMA MSG. KILA MTANZANIA MNASEMA AMESAJILI SIMU YAKE. KAMATA FUNGA MAISHA UONGO UTAISHA NA NCHI KUBAKI NA HESHIMA YAKE. IKIBIDI IONGEZWE KWENYE KATIBA
 
Hela za escrow ni hela za wafanyabiashara binafsi ambazo Tanesco ilikuwa ikilipa bill zake za kununua umeme inaingiza huko.
Sio hela za serikali kama wengine wanavyotaka watu waamini.

Fedha hizo zilikuwa zinawekwa huko kwa kuwa wanahisa walikuwa na migogoro yao binafsi ambayo serikali haiwahusu na waliomba ziwekwe huko ili asije kuweko mwanahisa wa kuzitoa bila mwingine kujua.ESCROW ni kama akaunti tu ya kutunza hela kwa muda kwa ajili ya watu ambao wako katika migogoro wakati wanasubiri kumaliza migogoro yao.Walipomaliza migogoro yao ndio wakaenda kuzichukua.Hazikuwa za serikali kabla ya kuziweka na baada ya kuziweka.Na haziji kuwa za serikali zile.

Tanesco kama mlipa umeme alionunua alikuwa akiendelea kulipa kila wakati bili zake.Sasa mtu kusema watu wamekwapua hela za walipa kodi kunatoka wapi? Zile hela sio mali ya serikali ni za wanahisa.Hata zingerudi kesho serikali haiwezi zichukua sio pesa zake!!

Watu waelewe kuwa hela zilizokuwa akaunti ya ESCROW sio hela za serikali ni za watu binafsi(IPTL) waliolipwa na Tanesco BAADA ya kuiuzia Tanesco umeme.Kwa ufupi habari ndio hiyo.

eastafricaneagle@gmail.com
"Hela binafsi" zikakaguliwa na CAG kwa gharama ya kodi za watanzania.
Hela binafsi zikawekwa BOT!!
Hivi wabia ni akina nani vile!!
maajabu ya dunia

Hata EPA mzee wa kucheka alisema siyo za serikali!! QWajinga ndio waliwao TZZZZ
 
Kwa hiyo unataka wote tuandikwe kwenye magazeti ndiyo uamini kwamba hili suala limetutia aibu kama taifa??... Au unataka kutuaminisha kwamba wanaosemea mabaya na kufichua ufisadi ni upinzani peke yake..? Acha ujinga, issue hiyo ndo kwanza bado, Zitto anahusika kwa sababu ni Mwenyekiti wa PAC,, Kafulila anahusika zaidi kwa sababu ndiye aliyoilipua Bungeni.. Sasa hao wahawafanyi kazi peke yao mbulula wewe... Subiri CAG amalize kazi usikilizie moto wake ndo utajua kama Zitto na Kafulila wamebaki peke yao au lah!!

Mgetuambia kwanza tujue ni kiasi gani tulitakiwa kulipa kama gharama ya umeme tuliotumia kutoka IPTL na kama ilikua ni bure na lenyewe mliweke wazi. Waziri kivuri wa secta husika anafahamika ushamsikia anahangaika na upuuzi huu. Hizi habari za kupiga kelele kwa niaba ya Mechmar kua kaingizwa mkenge na tapeli mwenzake mzipige wenyewe na wasaliti wenzenu.
 
Kwahiyo hela za wahisani ndio hazina mwenyewe zinaweza potea hewani hewani tu?
 
Tuondolee upumbavu wako hapa!! Kama umetumwa na mabwana zako kawaambie Watanzania wameamka sasa. Utasemaje si hela za Serikali.. TANESCO ni Shirika la Umma, linaposhindwa kujiendesha Serikali inatoa ruzuku!! TANESCO ingekuwa inapata faida fedha zingeenda wapi, kama si Serikalini... Serikali ya Tanzania ni Jamhuri, inapata mamlaka kutoka kwa Wananchi ambao ndiyo walipakodi..

TANESCO haiwezi kuingia mikataba na hao mabawana zako bila idhini ya Serikali... Nyie CCM msituchezee akili,,, mmeliingiza Shirika letu la UMMA kwenye mikataba mibovu, hayo makampuni yanajichotea fedha kinyume cha utaratibu, leo tumestuka mnakuja na ngonjela kwamba fedha si za Serikali..

MKAJIPANGE UPYAAA... as long as TANESCO ni mali ya umma, hizo ni fedha za umma na kama ni fedha za umma Serikali inawajibika kuzilinda na kuzisimamia kwa maslahi ya walipakodi wa tanzania..

Shame on you!!

kuna watu humu jamvini si wajinga bali ni wapumbavu kila analofikiri yeye anatka iwe ndivyo
 
Hela za escrow ni hela za wafanyabiashara binafsi ambazo Tanesco ilikuwa ikilipa bill zake za kununua umeme inaingiza huko.
Sio hela za serikali kama wengine wanavyotaka watu waamini.

Fedha hizo zilikuwa zinawekwa huko kwa kuwa wanahisa walikuwa na migogoro yao binafsi ambayo serikali haiwahusu na waliomba ziwekwe huko ili asije kuweko mwanahisa wa kuzitoa bila mwingine kujua.ESCROW ni kama akaunti tu ya kutunza hela kwa muda kwa ajili ya watu ambao wako katika migogoro wakati wanasubiri kumaliza migogoro yao.Walipomaliza migogoro yao ndio wakaenda kuzichukua.Hazikuwa za serikali kabla ya kuziweka na baada ya kuziweka.Na haziji kuwa za serikali zile.

Tanesco kama mlipa umeme alionunua alikuwa akiendelea kulipa kila wakati bili zake.Sasa mtu kusema watu wamekwapua hela za walipa kodi kunatoka wapi? Zile hela sio mali ya serikali ni za wanahisa.Hata zingerudi kesho serikali haiwezi zichukua sio pesa zake!!

Watu waelewe kuwa hela zilizokuwa akaunti ya ESCROW sio hela za serikali ni za watu binafsi(IPTL) waliolipwa na Tanesco BAADA ya kuiuzia Tanesco umeme.Kwa ufupi habari ndio hiyo.

eastafricaneagle@gmail.com

Si usubiri taarifa ya cag bunge lijalo? Ni vizuri tujulie huko.
 
Mwingine kaanza kampeni ya kuisafisha hii skandali kanisani. Kaitwa kuchangia kwaya, akaingiza suala la escrow ya iptl. Mpaka ripoti ya CAG itoke, tutashangaa mengi.
 
Back
Top Bottom