East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
Hela za escrow ni hela za wafanyabiashara binafsi ambazo Tanesco ilikuwa ikilipa bill zake za kununua umeme inaingiza huko.
Sio hela za serikali kama wengine wanavyotaka watu waamini.
Fedha hizo zilikuwa zinawekwa huko kwa kuwa wanahisa walikuwa na migogoro yao binafsi ambayo serikali haiwahusu na waliomba ziwekwe huko ili asije kuweko mwanahisa wa kuzitoa bila mwingine kujua.ESCROW ni kama akaunti tu ya kutunza hela kwa muda kwa ajili ya watu ambao wako katika migogoro wakati wanasubiri kumaliza migogoro yao.Walipomaliza migogoro yao ndio wakaenda kuzichukua.Hazikuwa za serikali kabla ya kuziweka na baada ya kuziweka.Na haziji kuwa za serikali zile.
Tanesco kama mlipa umeme alionunua alikuwa akiendelea kulipa kila wakati bili zake.Sasa mtu kusema watu wamekwapua hela za walipa kodi kunatoka wapi? Zile hela sio mali ya serikali ni za wanahisa.Hata zingerudi kesho serikali haiwezi zichukua sio pesa zake!!
Watu waelewe kuwa hela zilizokuwa akaunti ya ESCROW sio hela za serikali ni za watu binafsi(IPTL) waliolipwa na Tanesco BAADA ya kuiuzia Tanesco umeme.Kwa ufupi habari ndio hiyo.
eastafricaneagle@gmail.com