Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Wengi wamepataWife mbona hajapata, nadhani kuna ambao bado hawajapa mpaka sasa. Sio yeye tu, hata wenzie hawajapata na hiyo first Isntallement.
Wengi wamepataWife mbona hajapata, nadhani kuna ambao bado hawajapa mpaka sasa. Sio yeye tu, hata wenzie hawajapata na hiyo first Isntallement.
Mm naulizia hiko kiinua mgongo cha piliHabar wakuu?
samahani mi nauliza ka kuna chuo ambacho mpaka leo hii tareh 09/09.2016 hawajapata pesa ya field ile first installment yani 310K.case angu imebase zaid kufahamu kama hadi leo hiki chuo cha Tumaini au Universiry of Iringa hawajapata pesa kweli? msaada pleas.

hahaha week ijayo mkuu naskia inatokaMm naulizia hiko kiinua mgongo cha pili
Yaan pesa ya kwanza imeisha nangojea hyo ya pili nikaoe maana field nmemaliza tyr![]()
![]()
![]()