Rudi shule kaka utazipata na wewe upate mtaji ununue kiwanja ujenge nanyumba sindohuwa malengo ya wanafunzi wanapoomba mkopo ila ukishapewa zinapitaga kama upepoIyo ndo inakuwa ya miez mingapi kumbe wasomi wa hii nchi mnafaidi hela izo kila mwezi sie wamachinga hatzipat izo