Pesa ya boom yapunguzwa

Haijapungua kaka, Hio na 24 unapewa kama unasainii kwenye sheet ila kama ni sahih ya vidole ni 510k, hvyo yaani hata ukipata mesej ya 524k afu ukasain kwa vidole unapata 510k
Hapana mkuu mara zote nlipata massage ya 524k then ikiletwa bank yangu NBC inakua 523k af NBC kulkua hakuna makato kutoa Hela ko nlikua naweza kutoa pesa yote muhimu acc ibaki na 5k
 
Nimesoma chuo miaka4. Pesa ya boom ilikua inabaki bila shida na home nilikua nawasaidia!
Mkuu sio kwa mfumo wa sasa boom ulilosomea kipndi iko ndo hili Hilo kipindi iki angalia maisha yalivochange af huu mfumo wa kila mtu apate saiv unapewa boom tu out out of 1.5m unalipiwa ada laki 4 ko lazima litumike na kwenye ada Ilo Ilo ko usijedhani Kuna bata
 
Achana kubishana na hizo kenge......kwani hazijui kuwa now Kuna inflation....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…