View attachment 53967MTOTO KUTOKA ELTREA,mtoto kama huyu ukija nae bongo ukaowaa si balaaa kama huna helaa
mjombaaa acha uwogaaaaHii picha nishawahi kutumiwa mara kibao anataka msaada wa kumuhifadhia pesa zake na yeye ni mkimbizi so anataka aje bongo aishi na mimi kama mke na mume, mkuu hapo naona kama ushaingia choo cha kike, spams hizo na ukiendelea zaidi utaambiwa utume dollar 600 ili kufanikisha zoezi.
msemo wa kalee..sio now tabia kitu gani
Uzuri wa mke tabia sio sura..anaweza kua mzuri akawa anaigawa kama pipi hapo uzuri wake uko wapi?
Namuwekea tego, ukitembea naye lazima unaswe, hamna kubanduka kifuani
Wa kawaida mbona?.