Sijui?!View attachment 53967MTOTO KUTOKA ELTREA,mtoto kama huyu ukija nae bongo ukaowaa si balaaa kama huna helaa
sura hailiwi bwana, kama kopo huko chini je? beauty is one factor but there are so many to consider.
Kama hutabanduka kifuani si ndio unafaidi zaidi na zaidi
Acha ujinga wewe, uzuri wa mke sura na umbo hayo mambo ya tabia atanyoka tu, unataka tuoe wabaya eti kisa wanatabia nzuri.. sura kwanza mengine yote utazidishiwaUzuri wa mke tabia sio sura..anaweza kua mzuri akawa anaigawa kama pipi hapo uzuri wake uko wapi?
huyo wa kawaida sana broo, isitoshe hiyo ni spam, tumezoea kutumiwa kila kukicha.
Ukitaka kujua/kuona wanawake warembo nenda AMBIANCE CLUB, SUNCIRO, BILLCANAS,LOSVEGAS hapo utamwona huyo computer wako ordinary.
Namuwekea tego, ukitembea naye lazima unaswe, hamna kubanduka kifuani
Namuwekea tego, ukitembea naye lazima unaswe, hamna kubanduka kifuani