Mmh ujaelew not everyweek nanunua pafyum viatu ndo ninavyonunua most of the time,viatu vya 8000 quality n ndogo siku mbili tu vimekatika kama sio kuisha kabisa.We nae acha uongo. Kila week unanunua perfyume, lotion, viatu. Kwanini watz mnakuwa waongo waongo.
Kama unasoma bachelor miaka 3, utamaliza chuo ukiwa na pairs 96 za viatu. Ukiuza hizo pairs zote kwa 3000 kila pair utakuwa na 288,000 pesa ya kuanzia kulipia kodi ya chumba cha biashara
Ivyo viatu vya kuvaa sio kuuza kwaiyo niwekeze viatu hadi nimalize chuo wakati watu wanaenda kwa fashionWe nae acha uongo. Kila week unanunua perfyume, lotion, viatu. Kwanini watz mnakuwa waongo waongo.
Kama unasoma bachelor miaka 3, utamaliza chuo ukiwa na pairs 96 za viatu. Ukiuza hizo pairs zote kwa 3000 kila pair utakuwa na 288,000 pesa ya kuanzia kulipia kodi ya chumba cha biashara
Yupo good vipi wakoMwanao mzima mkuu
Unashangaa,eh mi sabuni ya kuogea natumia wiki moja tu.Mara nifulie chupi zangu mana mi silundi chupi ningekuwa narunda ata mwezi inafikaSabun y kuogea kila wiki [emoji16] oke Una plan n biashara Gan pia uko mkoa Gan Kama uko dar njoo dm
Sasa unacheka nn ha ha ha Mimi nanunua foma kwaajili ya kufulia ya buku, na ya kuogea 1 na iyo foma kila wiki nanunua maana nafua Nguo kila wiki Nguo navaa Mara moja tu sirudii,kwaiyo kila wiki lazima nifue.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Biashara nayo inataka muda siyo ya kufanya part timeAkija mtaani atasota bora ajipange saiv
....Perfume na Lotion ni Vitu vya Msingi sana kwa hali uliyo nayo sasa hivi? Amua ununue kimoja tu.Nafanya vya msingi tu naiheshim sana ela sijawahi fanyia ujinga,labda upande wa bando ndo huwa naona Nina kasoro huko ya kuchezea ela ila nikiweza huku basi....
Oke kumbe 'she' mi nmennua sabun ya magad 100 huu mwez haijaisha. Anyway uko chuo Gan na unatak uanze biashra ganUnashangaa,eh mi sabuni ya kuogea natumia wiki moja tu.Mara nifulie chupi zangu mana mi silundi chupi ningekuwa narunda ata mwezi inafika
Chupi + taiti + sidilia kila siku nikioga nifue iyo sabuni,sabuni ya aina gani ivumilie ikae hadi mwezi jamani
Sawa mimi nina mpangilio kila wiki lazima ninunue kitu cha muhimu,nikianza viatu,viatu tu may be mwezi mzima kila wiki nitatenga 8000,au ata vya kukopa 10000,lakini hapo nitafanya na badget zingin ambazo naona nazihitaji in that time.mi mwanamke unajua lazima nitakuwa na basic needs nyingi na ninapenda urembo.....kwaiyo ela zinaishiaga umoDah umesimplify sana cdhani kama mlengwa ataweza kiuhalisia
Duh umetisha sasa sio kwa uchumi huoOke kumbe 'she' mi nmennua sabun ya magad 100 huu mwez haijaisha. Anyway uko chuo Gan na unatak uanze biashra gan
Arsenal kwa ubahili dahToto la kishua
Duh fact mkuu kama umeniwahi vileWe nae acha uongo. Kila week unanunua perfyume, lotion, viatu. Kwanini watz mnakuwa waongo waongo.
Kama unasoma bachelor miaka 3, utamaliza chuo ukiwa na pairs 96 za viatu. Ukiuza hizo pairs zote kwa 3000 kila pair utakuwa na 288,000 pesa ya kuanzia kulipia kodi ya chumba cha biashara
Akusikilize tu afu aje ajutePesa kitu gani,tumia pesa! Kwani unaijua kesho wewe, watu wanakufa onyo wakiwa na pesa zao.
kwanini ijibane kama neema ipo ipo tu.
Duh itakua ni sabuni ya kuogelea na sio kuogeaSabun y kuogea kila wiki [emoji16] oke Una plan n biashara Gan pia uko mkoa Gan Kama uko dar njoo dm
Dada nilitaka kukushauri kitu ila nimeona niache tu baada ya kusoma hii comment nikuambie tu akuwa wengine tumesoma miaka hii hii ya Magu na hatukuwa na boom na hiyo elfu 40 ni budget ya mwezi mzima.Yani napenda niwe na viatu vingi so kila wiki natenga 8000 kwajili ya kununua simple kiatu,lotion nikinunua Mara moja iyo iyo sana sana viatu....
Ndo uwez wang ulipoishia kiongozDuh umetisha sasa sio kwa uchumi huo
Sabun ya magadi mche mzma unawez kutumia mwak mzima bila shakaNdo uwez wang ulipoishia kiongoz