Waambie wazazi wakutafutie 150k nunua digital pressure cooker , inapika karibu kila ktu nyama, kuku,samak hadi maharage kwa dakika 40 tu na inatumia umeme mdogo Sana.
Baada ya hapo tafuta mchele na maharage weka ndan
Kisha wazaz waendelee kukutumia hiyo 40k Yan kwa siku utakua unatumia hata buku tu , ktungu kimoja, karoti 1na ndiz 3 inakua buku.
Unaokoa gharama hununui gas wala mkaa.
Kwa wik unaweza ukajikuta unatumia 7,000 tu kwa chakula.
Alaf hayo mahitaj mengne ambayo siyo ya msingi yapunguze mfano viatu kma unapenda Sana basi pairs 4 tu inatosha
Punguza matumiz yasiyo ya msing Anza kusave jinyime .
Kama 40k ilikua haimaliz wiki unaanza kujaribu kujibana na kusave 10k hiyo 30k iliyobak ndo unaitumia
Ukishaweza kuish bila kukopa kwaajili ya chakula na kubak na balance kdogo ndo uanze kuplan biashara ktokana na kipato chako.