The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 820
Wanajamvi habarini za muda huu, natumai mko poa.
Kuna kauli moja common sana Bongo sasaivi, wanawake wa mjini wanasema "Pesa ni nguvu za kiume" offcourse ni kauli flani ivi ambayo ina kera ila ukifikiria sana ni kama ina make sense na ku sound ivi an, unajua mwanaume kama huna hela hasa mimi huwa naishiwa confidence kabisa ani naona kama vile ujasiri flani ivi kama mwanaume unaanza kupungua kama siyo kunitoka kabisa, ani nikiwa sina hela hata nikikutana na mdada hata kumpa hai huwa naogopa ani sitaki nao stori kabisa ani, ila nikiwa na hela sasa ma confedence yanakuja kama yote.
Kwa hiyo bhana mimi naona hawa Wadada kuna upande wako sahihi kabisa wanavyosema pesa ni nguvu za kiume