jamani tuache ushabiki haswa haya maswala ya dini hao waliyowaletea hizo dini hawagombani bali wanagombania maslahi ya mataifa yao, nyie mnachochukiana kisa mna imani tofauti ni nini hasa, ni ulimbukeni unatusumbua, angalia hapa bush alivyokumbatia mkono ,
His words and this image go hand in hand, as if they were frolicking through a flowery meadow 🙂
His words and this image go hand in hand, as if they were frolicking through a flowery meadow 🙂