PESA NDO KILA KITU

PESA NDO KILA KITU

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
44295966_255882191762594_2345423288919916544_n.jpg
 
Basi akina Kofi Olomide, Ipupa, Makhirikhiri, Busta Rhimes watakuwa nazo nyingi sana!
 
Unazidi kunikumbusha ule wimbo " maradhi yote ugua usiombe kuchacha" pesa ni sabuni ya roho .
 
Pesa kwanza! Mengine yaliyobaki utachagua kama nyanya sokoni


Silaha pesa bwana bastola ni mzigo tu

Roma alitekwa wakaenda kumtupa fukweni,,,,,Moredewj karudishwa hadi nyumbani [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hata kwenye familia mwenye pesa ndo mwenye maamuzi hata kama ni mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom