Pesa na penzi fake la miss arusha

Pesa na penzi fake la miss arusha

hzo story za wap mbo mwaleta ushamba! huku kwe2 demu buku na risit ya TRA.
 
mlikutana wote washamba wachangamfu....hamna tofauti na huyo miss

Ehe, nimekufundisha kusema neno 'mshamba mchangamfu'
Duh, mjanja unatumia maneno ya mshamba tena jamani??
Samahani mjanja nimeteleza jamani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
yaani majibu yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mshamba mchangamfu.... Pole mwaya......... kila jambo lina muda
 
selaa mwenyewe nimetinga ara jumapili bora umenipa chimbo jipya la kutega manyangau
 
Ilikua ni weekend tulivu jijini arusha tukiwa vijana kadhaa na mabinti kadhaa tunapata mbili tatu na kitimwaa' kwa ajili ya mtoko wa usiku ambapo tulipanga kwenda club mpya hapa arusha maeneo ya moshono inaitwa World garden.
Katika kupata mbili tatu kila mmoja alikua na manzi yake pembeni tukiwa tumeunganisha meza tatu kwani kulikua na couple zipatazo 5 ila kuna binti mmoja nikamuona yuko lose hana chalii na nikaambiwa uyo binti ni miss arusha na wala sikutaka kujua ni wa mwaka gani au alishika namba ngapi coz I don't do those girls who label themselves 'celebrities'.
Ni kabinti kazuri kwa mbali ila urembo wa dukani pia umehusika na alikua mchangamfu ila na kaushamba flani kwa mbali, yani kwa kifupi mabinti wa stlye hii mimi huwaita 'mshamba mchangamfu'.
Tukala, tukanywa, tukapiga story sana coz machalii wote tulikua tunajuana na kati ya couples zote 5 kuna mshakaji yetu mmoja alikua hana manzi, alikua anadeal na pombe tu tofauti na sisi tuliokua tunabambia mamanzi wetu.
Miss arusha alikua anajitahidi kuongea vizuri na kila mmoja na tulienjoy kuwa naye ingawa bill zikija mezani alikua anajifanya hazioni anazuga na simu sasa sisi wastaarabu akiwemo manzi wangu tukawa tunazama kwa mfuko tunaclear bill, pia yule mshakaji wetu aliyekuwa hana demu alikua naye anachangia pesa mingi kwenye bill zote ingawa hakuwa na manzi pale mezani.
Muda wa kwenda club mpya ukawadia tukiwa tumekolea mitungi, kila mtu na manzi wake kasoro yule mshkaji wetu aliyesingle pia na rafiki yetu mpya miss arusha alikua hana mtu yeye yuko busy na simu na hana say anatufata tu.
Tukapanda kwenye magari kadhaa tuliyokokuwanayo tukatoka hapo pub sakina na kuelekea moshono kwenye club mpya 'World garden'. Kufika langoni kila mmoja anajilipia kiingilio 20,000/=tsh kwa kila couple ila nikatazama kwa makini nikamuona yule miss arusha tuliyekuja naye anajibakiza nyuma nyuma na anaonyesha hana dalili ya kuwa na kiingilio cha kuingia club mpya mbaya zaidi hakuwa na chalii wa kumlipia, gafla yule mshkaji wetu ambaye hakua na demu akamvaa miss arusha kwa maneno "wewe miss umeshafulia huna lolote umeshachoka unakimbiwa unajifanya supa star"
Mshakaji akaendelea kumkaripia miss arusha "miss huna pesa, kila mtu yuko na mwenza wake kasoro wewe na mimi, unapaswa kubanana na mimi ili nikulipie kiingilio na huko ndani club sitaki kuona unakimbia-kimbia kukumbatiana na visharobaro, nakulipia na tukiwa ndani unatulia kwenye meza yetu"
Kwa upole wa hali ya juu miss yule akakubali amri hiyo kwa sababu hakuwa na hata mia mfukoni na starehe anazitaka kupita maelezo.
Tukaingia club mpya na wenza wetu na miss akawa anabambiwa kiuno na mshakaji wetu aliyemlipia, tukachagua meza tukaanza kufungua chupa za gordon kama kawaida kila mmoja na mwenza wake, tukacheza mziki kwa sana, tukashangaa club mpya sana na mwisho wa siku miss wetu mshamba mchangamfu akajikuta amepanua pajaz na ameingiwa maungoni usiku kucha na mshkaji wetu kama asante ya kulipiwa kiingiingilio cha kuingia club mpya ingawa mwanzoni alikua anam-ignore mshkaji na kujiona yeye ni sista du na celebrity wa arusha.

My take:
Tusiwe wachoyo wa fadhila tukiwa mjini.
Njunja unjunjwe,
Ukipewa offer na wewe toa offer.
Weekend njema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums r

Nipo chuga,ni pm namba yake mkuu,serious!!
 
selaa mwenyewe nimetinga ara jumapili bora umenipa chimbo jipya la kutega manyangau

Arifu niaje? Hilo chimbo sijui kama ni la ukweli au ni lakimurere maan moshono ni nje ya danta. Jombaa angalia mabeto kuna masoro wanapenda vagi sana wakishapiga kilauri. Nimepamiss chuga na naiii....maveve na makila kitu
 
yaani majibu yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mshamba mchangamfu.... Pole mwaya......... kila jambo lina muda
Nimeamini wewe ni mjanja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nimeamini wewe ni mjanja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ni vyema kuamini hivyo na endelea kuamini hivyo.

Wakati unaendelea kuamini soma uzi wako between the lines.....na jinsi ulivyochora hii picha....itafakari utagundua kuwa wewe na wenzio ni ni washamba mchangamfu kama huyo miss...sema tu nyie mmemzidi kipato.

Uwe na weekend njema mkuu.
 
samahani mkuu, naomba unifundishe maujanja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
We can understand some1 through his/her words.......umetumia muda mwiiiiiingi kundika vopour... khaa....so?
 
Arifu niaje? Hilo chimbo sijui kama ni la ukweli au ni lakimurere maan moshono ni nje ya danta. Jombaa angalia mabeto kuna masoro wanapenda vagi sana wakishapiga kilauri. Nimepamiss chuga na naiii....maveve na makila kitu

eroo bora umenisanusha mapema , maana tayari nlikua nshapata mzuka wa kuruka majoka asee chalii angu, bora nirudi zangu disko malapa la kule ngaleloo, au sio baba nanii, ila moshono ni kama home na mabeto ya machalii wa huko nayasoma mbaya, nitapita apo fasta nisome ramani wakizengua nawatema tu fasta, haina ukuda kamanda
 
Hayo yanatokea sana hasa unapokutana na watu ambao wana shida na starehe wanazitaka,unaweza kukutana na hata mwanamke tajiri mwenye pesa zake lakini ana shida na ukatumia shida zake kumpata.
Mkuu rafiki yako alitumia kinga kwenyemajamboz?Maana kinywaji mlichokuwa mnatumia sidhani kama zana ilikumbukwa,inawezekana kabisa leo stori ni ya miss Arusha kufulia lakini kesho na kesho kutwa ikawa ni rafiki yako baada ya kukwaa ugonjwa toka kwa huyo miss.
 
We can understand some1 through his/her words.......umetumia muda mwiiiiiingi kundika vopour... khaa....so?
Sorry mkuu kama sijakufurahisha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wanawake wengineeeee bwana wanaboajeeeee

Back
Top Bottom