Pesa kweli ni sukari ya warembo

Ila ukimwi bado upo jamani hao mademu wa kali ndio wanaongoza kwa ukimwi kwani wanachukuliwa na kila anaye wataka, hivyo muwe waangalifu sana
 
so far umetoa kias gan kuhonga?
 
Ila ukimwi bado upo jamani hao mademu wa kali ndio wanaongoza kwa ukimwi kwani wanachukuliwa na kila anaye wataka, hivyo muwe waangalifu sana

UKIMWI=UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.

Mwili ukikosa/ukipungua kinga unaugua magonjwa mengi tu kuanzia mafua, kikohozi,kuhara ,kifua kikuu TB na magonjwa mengine mengi tu.
Hivyo basi ukimwi kila mtu anaupata ili mradi katika maisha yake anaugua magonjwa yoyoteyale.
 
Nimeipenda hii kauli ya kishujaa
 

Upuuzi huu
 
hii ni kweli mimi mwenyewe kuna totoz mbili nimeshazifanyia hivyo na assa hv ninawasiliana nao kama kawaida..
 

Hahahha, Sio kweli...

Ila UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini, na huo upungufu umetokea baada ya Chembembe hai nyeupe za Damu Kuanza kushambuliwa na kuuliwa na Vijidudu ngangari(Virusi vya Ukimwi/HUMAN IMMUNODEFICIENCY VIRUS) Muda baada ya muda(They Decrease as the time goes on).....
Sasa na kwa kuwa hivi chembe nyeupe zina kazi ya kuulinda mwili dhidi ya mashambulizi ya vijidudu viletavyo magonjwa,
na kwa kuwa now Chembe zinauliwa kila kukichwa,

Hahhahhhah, na Vijidudu vingine vinapata chansi ya kufanya yao......Vinatumia fursa, ahahhahha
 
Mmh...wewe unapenda wanafunzi sio wanawake wanao jielewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…