Pesa kwa ajiri ya muhuri

TZ kwanza

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
250
87
Ndugu zangu napenda kusaidiwa, hivi hela anayoombwa mtu kipindi anapoenda kuomba barua ya utambulisho kutoka ofisi ya serikali ya mtaa au mjumbe wao wanaiita "HELA YA MUHURI".

Hii kisheria inatambulika kweli?

Na kama ipo mbona ofisi za mitaa mingine hawaombi? au wao wana source nyingine ya pesa?
 
nakumbuka nliwahi kwenda wakanidai pesa nikawapa nlipowauliza recept eti hawana walirudisha elfu tano yangu haraka sana...sitaki mchezo kwenye rushwa ndogondogo
 
Back
Top Bottom