Pesa katika mapenzi (PICHA)

Ukifanya hivyo nakuhakikishia hutafaidi matunda wala kula mema ya nchi....! Maaana atakuacha na kwenda kutafuta anayeweza kupiga libeneke kitandani.....Kwa kakwambia anataka kuona hicho kimini? Anataka kula vilivyomo!

alaah kumbe......,
basi itabidi nilicheze hilo libeneke kiugum ugum.......,
 
Mwanaume pesa, sio suruali, heshima pesa, shikamoo makelele.....!

Kuna mrembo mmoja maarufu juzi kazaa mapacha na babu...kisa pesa. Chezea pesa wewe?

vipi ni yule alieimbaga "Nalia kwa furaha" + "crazy over you"
 
Hiyo miguu tuuuuu!! Weka namba basii!!
 
Sasa huyo mbabu hapo anaonekana choka mbaya..Pesa anazo huyu!? Halafu anafanana na Bishanga
 
Last edited by a moderator:
wee vizee kama hivi vina serve pesa zote kwa ajili ya kugegedea totoz, kuna kibabu cha aina hiyo hapa job, kimeajiriwa kama gardener lakin kimejitengenezea car wash humu ndani, basi kutwa kinaosha magari kila wagen wakija kinaosha tu,kwa siku kinakunja zaidi ya 40000. kinawabadilisha totoz kama nguo, na bado wanakipigania.., chezeya vizee wew!
 

Bado siamini kama pesa ndiyo imefanya kazi kwa babu huyu kumnasa binti huyo. Maana ukiangalia hali ya babu hasa suruali na zile buti alizopiga chini inaonyesha wazi kuwa ni mtu wa kipato cha kawaida kabisa tofauti na mwanadada anavyoonekana. Kwa maoni yangu, naona kuna kitu behind pesa .......
 
Babu katoka kuuza ng'ombe huyo,,,, akifika kwa bibi mweupee hana hata mia.
 
siku hizi pesa ndo kila kitu
but I cant imagine my self kissing this babu
sijui nanilino yake mle ndani iko ktk hali gani

yataka moyo....,

Haha hapo bado hajakutaka umwimbie single..hehhehe..using his microphone!!!!
 
hiki kimini unacho au niagize haraka from South Africa?

agiza mume wangu mpenzi, vikiwa 8 itakuwa pouwa sana. Vinafaa kwa kubarizi barefooted ufukweni mwa beach (Kilwa).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…